Kwa Wanawake wa Dar es salaam

Kwa Wanawake wa Dar es salaam

Kwa style hiyo utawapata wengi sana aisee jamaaa
 
Ndio mkuu wangu nipo ndani ndani huku vijijini
🙂🙂🙂🙂 Vijijini ndani ndani ndio wapi mkuu Tanzania yetu kubwa sana. Au vijiji vya Gosheni? ha ha ha ha...
 
Kwema wakuu??

Niende kwenye point au dhumuni la andiko langu moja kwa moja. Mimi natafuta mwanamke/msichana wa kula nae raha (bila shaka nimeeleweka hapa) akiwa mke/mpenzi wa mtu fresh tu sababu mimi pia nipo kwenye mahusiano na mtu hili lieleweke mapema. Ni mwendo wa kulana kisela na kusaidiana kwenye shida na raha. Me naishi Boko, Dar es salaam kwa mwanamke anaeishi Dar es salaam na yupo interested tuchekiane PM au anitumie mail kupitia email address hii bigguytz18@hotmail.com. Swala la umri na mambo mengine tutajuana huko ila nimevuka miaka 27 na sijazidi miaka 34. Karibuni.

Najuwa we ni mwanamme wa Dar, je uko radhi kuliwa/kupakuliwa pia? Usione haibu, tunajuwa wengi wenu huu ndiyo mchezo wenu.
 
Kwema wakuu??

Niende kwenye point au dhumuni la andiko langu moja kwa moja. Mimi natafuta mwanamke/msichana wa kula nae raha (bila shaka nimeeleweka hapa) akiwa mke/mpenzi wa mtu fresh tu sababu mimi pia nipo kwenye mahusiano na mtu hili lieleweke mapema. Ni mwendo wa kulana kisela na kusaidiana kwenye shida na raha. Me naishi Boko, Dar es salaam kwa mwanamke anaeishi Dar es salaam na yupo interested tuchekiane PM au anitumie mail kupitia email address hii bigguytz18@hotmail.com. Swala la umri na mambo mengine tutajuana huko ila nimevuka miaka 27 na sijazidi miaka 34. Karibuni.
Ndio maana dhambi haziishi hapa duniani yani una mke halafu unachepuka?
By the way huyo mkeo hakutoshi? bas tubu na oa mwingine kabla MUNGU hajakuadhibu.
 
ngoja na mimi nije na siredi ya wanawake wa ushirombo.
 
HitWe,Badoo,InstaGram,Instamessage,Tinder,MaGroup Ya Whatsapp,Hi5,Tagged.
Kote huko umekosa hoes adi humu,Nigga you are not serious!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom