Kwa Wanawake tu...................

kwani choo ch kike hakina 2ndu la kujisaidia ......ngoja nikakiulize king'amuzi changu mi jinsia gani.
 
Mimi ni mshamba wa mapenzi, mume wangu utasikia ananiita mama nanihiii, uongo wa kuitana hayo yote kinafiki hatuna. Ila najua wengi wanaotana hivyo ujue kuna ualakini hapo.

Muite jina lake, kama mna watoto ita kwa jina la baba Juma/Jamila etc
 
Je akupendae (mumeo/mchumba/mvulana) anakuitaje???

Nimepata hii sms nikaona ngoja niirushe hapa maana imenichekesha kidogo:

1. Honey= Kimeo
2. Dear = Wakuzugia
3. Sweet = Mshamba
4. My Love= Zezeta
5. Baby=Jinga
6. Mpenzi = Malaya
7. Darling = *****
8. Wife = Kahaba

Kuna ka ukweli hapo kwenye namba 2, na 5 kwa upande wangu

Huu naona ni usanii tu hapa ita jina mambo kwishney
 
Je akupendae (mumeo/mchumba/mvulana) anakuitaje???

Nimepata hii sms nikaona ngoja niirushe hapa maana imenichekesha kidogo:

1. Honey= Kimeo
2. Dear = Wakuzugia
3. Sweet = Mshamba
4. My Love= Zezeta
5. Baby=Jinga
6. Mpenzi = Malaya
7. Darling = *****
8. Wife = Kahaba

Kuna ka ukweli hapo kwenye namba 2, na 5 kwa upande wangu

he kumbe!!
bora mi humwita babaa naye huniita mamaa
hahaha ni hayo ttu
 
Je akupendae (mumeo/mchumba/mvulana) anakuitaje???

Nimepata hii sms nikaona ngoja niirushe hapa maana imenichekesha kidogo:

1. Honey= Kimeo
2. Dear = Wakuzugia
3. Sweet = Mshamba
4. My Love= Zezeta
5. Baby=Jinga
6. Mpenzi = Malaya
7. Darling = *****
8. Wife = Kahaba

Kuna ka ukweli hapo kwenye namba 2, na 5 kwa upande wangu

Ahsante sana kwa kunijulisha haya thats why I like this jf manake hii no 2 na 5 ndi unapendaga sana kuniita kumbe huwa unamaanisha hivieeh?! Inshaalwa natafuta mke mwingine kuanzia sasa!
 
Ahsante sana kwa kunijulisha haya thats why I like this jf manake hii no 2 na 5 ndi unapendaga sana kuniita kumbe huwa unamaanisha hivieeh?! Inshaalwa natafuta mke mwingine kuanzia sasa!

Ha ha ha Mwanaume mubaya wewe Laptop yangu iko wapi kwanza halafu hulali wewe usiku wote huu ndo unasign in kisa na mkasa
 
Je akupendae (mumeo/mchumba/mvulana) anakuitaje???

Nimepata hii sms nikaona ngoja niirushe hapa maana imenichekesha kidogo:

1. Honey= Kimeo
2. Dear = Wakuzugia
3. Sweet = Mshamba
4. My Love= Zezeta
5. Baby=Jinga
6. Mpenzi = Malaya
7. Darling = *****
8. Wife = Kahaba

Kuna ka ukweli hapo kwenye namba 2, na 5 kwa upande wangu

Samahani kuingia nisipotakiwa LAKIN:

Bora umekuwa mkweli!

Btw: Namba 7 ina maana ya M.K.W.E.R.E? Kama sio, mbona kuna ***** sawa na tukiandika ****** humu ukumbini?
 
Back
Top Bottom