kwa wanawake tu..... wanaume msifungue hii thread | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wanawake tu..... wanaume msifungue hii thread

Discussion in 'Jamii Photos' started by cheusimangala, Apr 15, 2011.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  kina dada wenzangu mnadhani hii inatokea kwa kiwango gani?
  let say ktk pair ishirini za wapendanao mnadhani ni ngapi ya ishirini ya wanaume wako kama huyu bwana.
  Utajuaje kama mpenzi wako anakuwazia kama huyu kaka anavyomuwazia huyu dada?
  Thanks God ingekua hii ni picha ya mim na mpenzi wangu wote tungetokea tunawaza kama huyu dada:panda::panda::panda::panda:
  Muwe na week end njema lkn mumuombe Mungu aifanye mioyo yenu na ya muwapendao iwe na nia moja.
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naomba kamati ya Ulinzi .............

  ntasimama tu hapo nje mlangoni ili wasifungue na kuingia.....teh.....

  am out sirudi tena kusoma yanayoendelea
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
 4. K

  KWELIMT Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wewe wako vipi anakufanyia hayo? alafu hiyo ni picha tu! jiulize mara ngapi ulishashikwa hivyo then kibuti?


  Mapenzi ni kama upepo huvuma na kutoweka ndo maan kutendwa hakutakwisha!:A S-confused1::A S-confused1:
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa napita tu.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Cheusimangala ni ngumu sana .
  Labda kwa imani tu unakuwa unawaza labda ananipenda na kuniwazia mie
   
 7. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  :car::car::car::focus:
   
 8. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  usidanganyike mpendwa kirahisi hivyo....

  kwenye mawazo yao, huo moyo wa msichana uko upright ila wa mwanume umepinduka na kuwa kama mahips hivi. so inaomnesha hana mapenzi ya kweli ila tamaa tu!

  hakuna lolote hapo dada yangu!
   
 9. sbilingi

  sbilingi Senior Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 10. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ni kweli.
  ni vigumu sana kuwagundua hasa kabla hawajapata wanachokitaka maana ni good pretenders.
  Hata hivyo sio wote.
  kumbuka pia hiyo picha ingeweza kuwa ni mwanaume mwenye mapenzi halafu mdada akatokea badala ya huo moyo ikawa wallet,hivyo sio wanaume tu wanaowaza kinyume na matarajio ya wenza wao,hata sisi kina dada wapo wanaokua na mtu lkn wala hana mapenzi ana vitu vyake vingine kabisa anavyovitaka toka kwa mkaka.
  Siku zote wanaume hata wanawake kabla hatujajiingiza ktk mahusiano ni vyema kumuomba mungu atupe macho ya rohoni,bila msaada wa Mungu ni rahisi kuishia kuwa kama huyu mdada ktk hii picha.
   
 11. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33


  pamoja na kwamba me ni mwanaume wacha nichangie kwa kukushukuru kwa maneno yako ya kwenye red.. nimefuifinga na sitaifungua tena
   
 12. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Mimi naona kama hiyo kopa ya mwanaume inaangalia chini ya mwanamke imegeuka juu. Hii ina maana gani ? Ayaaaa kumbe mie kidume, ngoja nichomoke kabla sijastukiwa.
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  usichomoke bakia tu.Nikisema wanaume msifungue namaanisha WANAUME FUNGUENI maana zile sehemu zilizopigwa marufuku ndio zinapendwa zaidi.
  angalia vizuri anachokiwazia huyo kaka utaelewa.
  usipoelewa kabisa ntakupa namba yangu unibeep nikupigie nikueleweshe kwa ufasaha.
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  jinsia yako kama vile naifananisha.
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mmh! Wengi huwa waongo. Mimi nikishaona kuanzia asbh hadi usiku hata msg ya hi sijapokea najua siwaziwi.
  Kuna wengine wanakuwaza week end tu.
   
 16. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Samahani akina Dada, hasa Cheusimangala, nilikuwa ninapita tu, "Jicho halina pazia". Lakini baada ya kuona maoni ya huyu kaka nimeamua kuchangia kidogo. Ukianza kutaka kujua tafsiri ya nani inaangali chini, ya nani juu unaweza kupata maana kibao kwa kadiri ya ufahamu wako. Kwa hivyo naomba utoe tafsiri yako tuchangie. Na pia ikiwezekana tusaidie kwa nini kopa ya mwanamume ni nyeupe na ya mwanamke ni nyeusi.

  :focus: Nafikiri tusi"generalize" sana. Kuna wanaume wabaya na wazuri, kuna wanawake wazuri na wabaya. Kumpata wa chaguo lako kwa asilimia kubwa itategemea sana na uchunguzi wako kabla ya kujiingiza, bila ya kusahau bahati na maandiko ya Mungu.
   
 17. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  bado tu huoni?
   
 18. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mimi sijaelewa.. nikiangalia mioyo yao iko tofauti, mwanaume sijui anampenda mwingine? au kapenda ****, mie sijui. Ila mtu akupendaye utamjua tu with time, penzi la kweli halijifichi.
   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  U r right! utakumbukwa kwa sex tu, otherwise niko busy.
   
 20. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  sijaelewa kabisaaa, nasubiri number yako
   
Loading...