Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,485
Sasa huko ni kitojiamini/kutokumuamini mumeo kusiko na msingi.mwingine ndo ukishamjb na mfano tena mumeo ndo ana kazi nzuri inayomuingizia kipato cha mana bac ndo ishakuwa tabu.ataona hil ndo lakuchuna hili.tatizo mapenzi cku hz hakuna watu wanatafuta penye afadhali
Wanaojua kazi yake wameshamchuna? Alafu anachunikaaaaa? Au ni mbahili wasiwasi wa bure.