Kwa wanawake tu naombeni majibu

Kwa wanawake tu naombeni majibu

ningelikuwa mwanamke.. ningejibu hivi

'' hii inanisaidia sana, tena mnoooooo!!! (huku vidole vikiwa juu kama antena za tv za soni!), ntajuaje kama kiasi nnachomchuna kinaendana na kazi anayofanyaaaa.. eeenh! afu baada yapo natoka nduki!!
:hurt:

tatizo ndo hujawa sasa.fanya tu utoke humu shughuli c yako
 
eti mtu anakj,hv mama excel mumeo anafanya kazi gani?inahusu nn hata akiwa mzibua vyoo.
 
Hehehe Excel ngoja uamke na manyonyo kesho.

bunited kitendo cha mwanamke kumuuliza mwanamke mwemzie mumewe anafanya kazi gani/wapi hakuna ubaya wowote. Ni kitu ambacho hata dada, rafiki, jirani anaweza kuuliza akiwa nasababu au basi tu out of curiousity. Labda kama ungesema huyo mwanamke uko nae vipi, mnajuana? Mmezoeana? Mnaishi karibu karibu?

Huwezi jua labda anataka kumpa dili. Kama hukupenda alivyokuuliza na wewe ungemuuliza kwanini anataka kujua. Akoshakujibu ndio sasa uamue kumuambia au la.
 
Last edited by a moderator:
ningelikuwa mwanamke.. ningejibu hivi

'' hii inanisaidia sana, tena mnoooooo!!! (huku vidole vikiwa juu kama antena za tv za soni!), ntajuaje kama kiasi nnachomchuna kinaendana na kazi anayofanyaaaa.. eeenh! afu baada yapo natoka nduki!!
:hurt:

Hahaaaaaaa. ..
 
eti mtu anakj,hv mama excel mumeo anafanya kazi gani?inahusu nn hata akiwa mzibua vyoo.
weeenh!! namgeuza chipsi mayai siku hiyo!!

wallahi usiku kucha nikate kiuno kwa nguvu zangu halafu uje wewe na nusu kanga kibarazani miguuu peku peku sijui unabeba gunia kariakoo shimoni masikini!!!

lazima uwe halali yangu... mxxuuuuu!!!!

(kwa hisani ya if i were a woman!)
 
Hehehe Excel ngoja uamke na manyonyo kesho.

bunited kitendo cha mwanamke kumuuliza mwanamke mwemzie mumewe anafanya kazi gani/wapi hakuna ubaya wowote. Ni kitu ambacho hata dada, rafiki, jirani anaweza kuuliza akiwa nasababu au basi tu out of curiousity. Labda kama ungesema huyo mwanamke uko nae vipi, mnajuana? Mmezoeana? Mnaishi karibu karibu?

Huwezi jua labda anataka kumpa dili. Kama hukupenda alivyokuuliza na wewe ungemuuliza kwanini anataka kujua. Akoshakujibu ndio sasa uamue kumuambia au la.

Full stop.
 
we Lizzy!! nakuangaliaga unavyopitaga na vinyodo vyako!!!

unadhani hatuumii na hicho kigari chako cha shingi mia eenh!!

mwanamke gani wewe unapita unaacha tetemeko la ardhi!! heheheeee!!! wacha tuwaseme leo!!

(only if i were... hahaaa!!)
 
mwingine ndo ukishamjb na mfano tena mumeo ndo ana kazi nzuri inayomuingizia kipato cha mana bac ndo ishakuwa tabu.ataona hil ndo lakuchuna hili.tatizo mapenzi cku hz hakuna watu wanatafuta penye afadhali
 
Last edited by a moderator:
mbona beyonce aliimba if i were a boy? sasa na mimi nasema if i were a woman!

haki sawaaaaa!!!! helo heloooo!! (babaaake lisauti kama la kingwendu!! ta..ko ta..ko!! kanga nusu kiuno!)

but only if i were a woman!

Kuna maneno mwanamme akitamka anarahisisha kitendo cha kuvishwa khanga.
 
we Lizzy!! nakuangaliaga unavyopitaga na vinyodo vyako!!!

unadhani hatuumii na hicho kigari chako cha shingi mia eenh!!

mwanamke gani wewe unapita unaacha tetemeko la ardhi!! heheheeee!!! wacha tuwaseme leo!!

(only if i were... hahaaa!!)
Hahahaa nnavyoogopa kusutwa. . .Acha niwe mdogo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna maneno mwanamme akitamka anarahisisha kitendo cha kuvishwa khanga.

heheheee!! eti ennnh! (babake vidole viko juu ka bendera ya chadema!)

na hao wanaovaa misuli ni wanawake? mmmxxuuuu!!!

unikome...! tena unikome kuingia ndani kwangu na vumbi za stendi ya ubungo!!!

(being a woman is an issue! eenh!)
 
Sometimes we make mountains out of mole hills. Huwezi kujua take it positively.

Kama anauza unga labda anasaka upunda.
 
heheheee!! eti ennnh! (babake vidole viko juu ka bendera ya chadema!)

na hao wanaovaa misuli ni wanawake? mmmxxuuuu!!!

unikome...! tena unikome kuingia ndani kwangu na vumbi za stendi ya ubungo!!!

(being a woman is an issue! eenh!)

Dude it aint funny. Quit acting crazy.
 
Back
Top Bottom