eeeeehhh, Nitonye! Upo? siku nyingi sana dear
hivi wewe ulikua ni shem, uncle au mchumba?
Umepotea sana hadi nimesahau uhusiano wetu
hahahahah
Mwali, I'm natural and carefree. I'm extremely comfortable in my own skin. Trust me!
But seriously, urembo ni fake! Na wanasema there is only two kinds of women, the beautiful and the lazy ones.
mh! mnashughuli, natumia mbuni yangu kila kuogea, nywele zangu za kawaida hazina dawa tena nimekata mafuta yangu ni baby Johnson mgando na ya maji, sifugi kucha sana sana napaka heena na maisha yanaenda.
ukija kwenye deo most of the time uwa situmii maana sina jasho kali
Sasa bibie unataka hata pubic hair tuache? Si zitakuwa vichaka? Hata wanaume wasafi wapo, lakini kama ni nywele (I keep a natural hairstyle, shampooing weekly) na wanaume nao wananyoa ndevu daily sometimes na kuosha nywele daily. Sasa tutawaita fake? They also wear perfumes and deodorants.
Mama, unataka tuwe kama wamasai sasa, tukipishana tunanuka ng'ombe?
kunukia kwa mwanamke na kutonuka ni tofauti.
Hata kama huna kwapa, lol unanukia binadamu?
Afu mafuta ya mgando kiukweli yanaacha thin layer kwenye ngozi, wakati wa kuoga lazima uiondoe kwa kusugua na kitu.
Bora bio oil lol
basi tumia hata ka ndimu
vip wee huna hata nivea?
Hapa kwa wanawake sitaki uchokozi
Hamna njia.Napita.....
umenichekesha sana ujuehivi kumbe mnafanyaga mambo yote hayo???
mie ukiniona in real life kama bibi tarabushi,lol
inabidi nianzekujisop sop nisije kosa wachumba buree.....:redface::redface:
kama unayoyafanya hayakubadilishi sehemu yako yoyote ya mwili, yes u are natural.