Yaani sjaelewa wanatembea kwa makundi jukwaani au?Ushaur wangu kwa nyie wadada mnaotafuta wapenz humu
Acheni kutembea kwenye makundi mda wotee,marafiki sio vibaya bt uwe na ka mda wa kuwa peke yako kwenye mizunguko yako mnatutesa sana tunaowafukuzia
Mtakaofata ushaur mtanipa mrejesho
Ooh haha ulinitisha swahiba nikajua wanawake wa humu wanatembea kwa makundi majukwaani labda wakiwa MMU siasani biashara la wakubwaHapana mkuu labda kwenye starehe hivi
Sio zama hz za magufur... Hilo kundi lenye simba wa aina hii wamebaki wachache wengne tushatolewa na magu humoSijawahi kuona simba anaogopa nyumbu mmoja kisa anatembea ktk kundi kubwa na wenzie. Lipa bill yao wote, agiza deserts, kisha mwambie waitress alete richebourge wine, sambaza glass meza yao yote, huyo unayemtaka hata humwiti kwa kelele, unanyoosha tu kidole, utaona kila mmoja kwenye kundi anauliza mimi (huku anajinyooshea kidole kifuani), wewe unasema - the one with pink shirt
Kama sio mhaya basi utakua umekulia either Muleba,Karagwe au bukoba mjiniSijawahi kuona simba anaogopa nyumbu mmoja kisa anatembea ktk kundi kubwa na wenzie. Lipa bill yao wote, agiza deserts, kisha mwambie waitress alete richebourge wine, sambaza glass meza yao yote, huyo unayemtaka hata humwiti kwa kelele, unanyoosha tu kidole, utaona kila mmoja kwenye kundi anauliza mimi (huku anajinyooshea kidole kifuani), wewe unasema - the one with pink shirt
Sijawahi kuona simba anaogopa nyumbu mmoja kisa anatembea ktk kundi kubwa na wenzie. Lipa bill yao wote, agiza deserts, kisha mwambie waitress alete richebourge wine, sambaza glass meza yao yote, huyo unayemtaka hata humwiti kwa kelele, unanyoosha tu kidole, utaona kila mmoja kwenye kundi anauliza "unaniita mimi??" (huku anajinyooshea kidole kifuani), wewe unasema - the one with pink shirt
Hahhahaha mkuu umeongea ki Don sana. Umenikumbusha mbaliiiiiiii sana.Sijawahi kuona simba anaogopa nyumbu mmoja kisa anatembea ktk kundi kubwa na wenzie. Lipa bill yao wote, agiza deserts, kisha mwambie waitress alete richebourge wine, sambaza glass meza yao yote, huyo unayemtaka hata humwiti kwa kelele, unanyoosha tu kidole, utaona kila mmoja kwenye kundi anauliza "unaniita mimi??" (huku anajinyooshea kidole kifuani), wewe unasema - the one with pink shirt