Kwa wanawake: Jinsi ya kudhibiti house girl asitembee na mume wako

maombi ni silaha tosha mengine hapo juu ni marupurupu tu..unaeza ukafanya yotee still akamlamba housegal..
 
Huyo HG anaonana na hubby less than masaa 2 weekdays. Kama ni kuogopa basi ogopa warembo walomzunguka mumeo kazini...iambie serikali iweke amri ya kukataza wadada kujiremba makazini...

Akyanani siwezi jipa pressure ziso na lazima...do me I do you...I am not that weak hadi nichukie na kuwa suspect warembo wote...
Kwanza sitakagi hg mchafuchafu mpaka mgeni ajue bila kuuliza kuwa huyu ni HG...

Na hakuna masharti yoyote nyumbani kwangu...aliye ndani ni mwanafamilia ana uhuru wa kuongea na baba au mama freely

do me I do you
Baba nyumba kubwa akichepuka nipm tumlipizie
 
kumbe ndio maana wife akisafiri anampa likizo hausgel, kwann wanawake mnakuwa na mawazo ya namna hii? ni dalili za kutokujiamini
Inasikitisha sana ukiwa na mke anayekuona kuwa huwezi kupitwa na sketi...hasa ikiwa ni wasiwasi wake tu...
Na ka research kangu kamenambia hili linakuwa tatizo sugu...na upelekea ku wa victimized hawa mabinti...
Wanaharakati wameshatoa jina 'modern day slavery'...
unataka umtumikishe na hata mafuta ikiwezekana asipake ...kisa 'mume wangu atamtamani'
meaning abaki mbaya hata salamu njiani akose na mume asipate....wanawake TUNA ROHO MBAYAAAA!!!!
 
Inakuwaje wanawake wa Leo uzao wa Abraham mnataka kuwa wachoyo kuliko Mkewe Abraham ambaye alikubali Kijakazi atembee na mumewe ...so nyie man wivu kuliko Sarah ????? Acheni Hizo ...kijakazi Ndani ya nyumba ni ruksa kulala na mume akitaka na Kamwe huwezi kuzuia
 
Pamoja na mke kufanya yooote hayo unatakiwa umwombe sana MUNGU aisimamie ndoa yenu vinginevyo inaweza isisaidie kitu
 
Afadhali wewe mwanaume umesema, I think mikono yenu na miguu yenu inaacha ku function the moment mnao!, naona mpaka mnaoshwa, mnatayarishiwa nguo!, mnavalishwa?!, kilicho baki ni kulishwa halafu tukimaliza kuwalisha tutawawekea pacifier.......
hahahaaha.. kui sikuona comment yako asee! for real, tunahitaji pacifier coz hata watoto wana afadhali. Kuna mambo hatuhitaji kufanyiwa kwa kweli, basi tu huu mfumo dume unakandamiza jinsia moja!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
7. Mpende usimdharau housegirl wala usimnyanyase ishi naye kama ndugu yako, lakini kuwa mkali anapokosea na anatakiwa ajue huna mchezo kwa mwanamke yeyote atakayethubutu kutembea na mumeo.

hii nimeipenda...........tambua tu kuwa mwanaume ni yule yule......alfa na omega.
 
Pamoja na mke kufanya yooote hayo unatakiwa umwombe sana MUNGU aisimamie ndoa yenu vinginevyo inaweza isisaidie kitu

Tutafanya yoote hayo lakini mimi naamini katika maombi. Mume analindwa kwa maombi ukisimamia vizuri
 
2 no mbili ya kufukuza ndo utakuta mtu anafurah Mara mbili tena ogopa Sana Kama mwanaume wako anamkandia housgirl wako bila sababu kuna mawili uenda nyumba ndogo ikazaliwa hapo kwa matokea ya kumfukuza nyumbni na kwenda kuanzishiwa maisha mtaan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom