Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 6,995
Naona umeingiliwa na ugonjwa wa machalii wa hili chama
Filipon hebu njoo uone watu wanavyoingilia fani yetu.
BTW nani alikudanganywa wanaume wanakaguliwa?
ONYO: Angalia usijetaka kukagua ukajikuta unakaguliwa wewe. Madhara yake ni makubwa!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
mie ruhsa kukaguliwa na Lady doctor ila tuwe faraghani eeeeeeeee?Naona umeingiliwa na ugonjwa wa machalii wa hili chama
Filipon hebu njoo uone watu wanavyoingilia fani yetu.
BTW nani alikudanganywa wanaume wanakaguliwa?
ONYO: Angalia usijetaka kukagua ukajikuta unakaguliwa wewe. Madhara yake ni makubwa!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
hivi unauhakina naunacho kinena ?
hujui kuwa pete ndiyo sababu za kuwaliza hao wanafunzz wenu?
sitaki mie mume wa mtu mnataka kunifanyia jambo gani nyie huko ofisini?halafu wewe una kesi kibao za kujibu come to our office plz!!!!!
Lady doctor umenena mie mwenzenu kila thread Bishanga anaoa Filipo nimeshakuandika jina du the needful tunaanza na wewe
sitaki mie mume wa mtu mnataka kunifanyia jambo gani nyie huko ofisini?
Mmhhhhhhhh, sasa hapo mnataka kukagua kitu gani Lady doctor maana napata shida kidogo kuelewa juu ya hapo unapokagua na mwingine kuhitimisha, duh hii nayo inaweza kuwa kali
mie ruhsa kukaguliwa na Lady doctor ila tuwe faraghani eeeeeeeee?
Sipo tayari kukaguliwa.tunakagua vitu vingi, kama akili, uwezo wako kifedha, mwenendo wako, kasoro zilizoko kwenye mwili wako ambazo ni kero kwa mwenza wako na mambo mengine kama hayo
acha kuwadanganya wenzako wakati wewe mwenyewe pamoja na Baba V nimesha wakagua, acheni na wenzenu wakaguliwe...... Aalaaaaaaaa!!!!!!!
Kutokana na malalamiko tuliopata kutoka chumba cha ukaguzi kinachoendeshwa na Mkuu wetu Madame B ambayo huletwa na wanawake mbalimbali walio kwenye ndoa na ambao bado hawajaingia kwenye ndoa.
Wanawake ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, huogopa kuingia kutokana na masaburi wayapatao pindi wawapo kwenye mahusiano ya uchumba na vidume vyao.
Baadhi ya wanawake ambao wapo kwenye ndoa, hulia sana kutokana na tabia za wanaume zao zisizoeleweka pamoja na kuoa wanawake wengi bila mpangilio maalum
Sasa basi kutoka na malalamiko hayo Lady doctor pamoja na Madame B tumeamua kukagua kila mwanaume ili tuweze kujua sababu za hawa wanawake wenzetu kulalamika na kukosa amani katika mahusiano yao
kwa ukaguzi mtapitia kwa The secretary kuandikisha jina then mtakuja kwangu Lady doctor niwakague, Madame B atafanya hitimisho.
Cc: Madame B The secretary Passion Lady Evelyn Salt Baba V Asprin Mr Rocky Arushaone Slave The Boss kiwatengu Mtambuzi himidin shansarie Mamndenyi na wana chit chat wote!!!!!!!