Kwa Wanaume Wote JF

Hahahaaaaaaaaa,,,,,,,yani wewe mtu sipati picha ulivyo

Ni mtu mmoja wa kawaida sana tu Mkuu na wala huwezi kudhania na kuamini. Hivi ilikuwaje lakini hadi ukapenda kujiita neno langu pendwa hilo la Popoma Mkuu? Huwa nacheka sana nikiona hii ID yako na najiuliza nini kilikufanya hadi ukajiita hivi. Ni matumaini yangu pia siku si nyingi kuna Mtu mwingine tena atajiita neno pendwa langu lingine la Ngumbaru.
 
Nilikuwa natumia jf as a guest nilikuwa nasoma sana nyuzi zako ukiwaita watu popoma wanakwazika sana ndio.
Nilimuuliza mzee mmoja hapa mtaani akanambia maana ya popoma kuwa ni mjinga,mpumbavu basi nikawa nimelipenda
 
Haya bhana ila Mjinga haitwi Popoma bali anaitwa Ngumbaru na Mpumbavu ndiyo anaitwa Popoma. Anyways kila la kheri Popoma na tupo pamoko / pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…