Kwa wanaume wenzangu walio kwenye ndoa

Hiv vikao hiv! Sio vizur!
Mi niko tayar ninune hata mwezi kama mtu kaniudhi lakn siend popote nitanuna, nitalia weeee!

Lakni vikao nooooo thank you!
Kweli kabisa na mkishafikia hatua iyo jua ndoa ishafika mwisho mm ndo mana nikigombana na mume wangu ata nikiondoka nyumban nawaambia ndg mniache ntayamaliza mm namuhusika
 
Kweli kabisa na mkishafikia hatua iyo jua ndoa ishafika mwisho mm ndo mana nikigombana na mume wangu ata nikiondoka nyumban nawaambia ndg mniache ntayamaliza mm namuhusika
Acha kabisa my dear!
Mi nakwambia hata kwa ndugu sisemi achia kuondoka maana nikiondoka atawaambia, watataka kujua kwanini nimeondoka! Ndo kitu sikitaki wajue kinachoendelea

Naishiaga kulia na kununa tuuuu!
Labda akiona nimelia kupitiliza akajiseme mwenyewe na hajawahi! Sana utabembelezwa wewe hadi raha ila huku umeumia hahahahahahaaaaaa
(Sweetie ukipitia pande hizi ujue nakupenda sana my G) tutafika
 
Hahaahhh
 
Jf safi sana tunajifunza vitu vingi sana
 
hahahaha daah jamaa ili apige mzigo mke lazima abonyeze starter nyuma huku akikanyaga mafuta hahaha

wanawake huwa wanavumilia mengi cna na mengi wanayaweka moyoni tuu haina tabu sasa ww ukijiona huna makosa na kufanya upuuz wa vikao ndo unaumbuka vzr.hawa viumbe niwakuwa heshimu cna asee

mwanaume mkamilifu hana ujinga wa vikao.akiona huelew ni anakutimua tuu
 
Hiv vikao hiv! Sio vizur!
Mi niko tayar ninune hata mwezi kama mtu kaniudhi lakn siend popote nitanuna, nitalia weeee!

Lakni vikao nooooo thank you!
Mie mnuno ndo ulinishindaga jamani, nkinuna hata lisaa haliishi
 
Nimebaki natoa macho baada ya kusoma iki kiji sehemu....
 
Kama namuona jamaa alivotoa mimacho...hahahahaaaaa
 
Nimebaki natoa macho baada ya kusoma iki kiji sehemu....
Ndo hivo mkuu!
Mazungumzo ya wawili ndo dawa mkimleta wa tatu nikuumbuana tu!

Sasa mnavuana nguo tena kwa wazazi na bado wanawaambia kaeni muongee mkifika muafaka mtatujulisha! Hahahahhaa patamu hapo
 
Kumbe ndo unapenda kubembelezwa hvyo mke wangu nlikua sijui Nakupenda sana bby wangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…