Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,068 Aug 27, 2011 #21 Tanganyika1 said: ....wasi wasi wangu ni kwamba unaweza kuzuia ndevu zisiote then hizo nywele zikajikusanya ukaota mkia..... Click to expand...

dah! We mkali mkuu,nimecheka mpaka watu kwenye daladala wamenishangaa.
Tanganyika1 said: ....wasi wasi wangu ni kwamba unaweza kuzuia ndevu zisiote then hizo nywele zikajikusanya ukaota mkia..... Click to expand...

dah! We mkali mkuu,nimecheka mpaka watu kwenye daladala wamenishangaa.
E emoshi Member Joined Apr 2, 2011 Posts 28 Reaction score 1 Aug 27, 2011 #22 mmh! mbona wewe mbaguzi hivyo kuna wanawake wana ndevu pia kwa hiyo naona hii inawahusu pia
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Aug 29, 2011 #23 Gama said: Mi nimeshatumia dawa ya kimasai na hazioti. Click to expand...

kama hautak ndevu omba matiti. Wanawake wamepewa matiti sis wanaume tumepewa ndefu, wewe unazikataa unataka nin?.
Gama said: Mi nimeshatumia dawa ya kimasai na hazioti. Click to expand...

kama hautak ndevu omba matiti. Wanawake wamepewa matiti sis wanaume tumepewa ndefu, wewe unazikataa unataka nin?.
Becha666 New Member Joined Nov 30, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Dec 14, 2022 #24 Kibukuasili said: hebu tupe maelezo ya kutosha Gama. Ya kimasai haiwezi leta kansa. Click to expand... Nisaidie bac na mm hii namba
Kibukuasili said: hebu tupe maelezo ya kutosha Gama. Ya kimasai haiwezi leta kansa. Click to expand... Nisaidie bac na mm hii namba