Tafadhali kama wewe si mwanaume au ni mwanaume usiye kuwa na ndevu hii haikuhusu..
Nilikuwa naongea na daktari mmoja katika hospitali moja kubwa sana katika nchi niloyokwenda kutembea..chonde chode tafadhali kama unatumia dawa ya kupaka kuzuia ndevu zisiweze kuwahi kuota ni kwamba dawa hizo zinaleta cancer ya ngozi na kama ulikuwa unampango wa kutumia tafadhari usifanye hivyo na kama unatumia acha mara moja ...
MESSAGE DELIVERED..
<br />sasa sisi wenye ndevu zetu inatuhusu nini,maana ulivyokuwa specific nikahisi kuna jambo sie wenye ndevu unataka kutuhabarisha,kumbeeeee!!!
Nisaidie dawa ya kimasai plz.
hebu tupe maelezo ya kutosha Gama. Ya kimasai haiwezi leta kansa.Mi nimeshatumia dawa ya kimasai na hazioti.
<br />Nisaidie dawa ya kimasai plz.
<br />Mi nimeshatumia dawa ya kimasai na hazioti.
nadhani wasio na ndevu inawahusu zaidi kuloiko wenye ndevusasa sisi wenye ndevu zetu inatuhusu nini,maana ulivyokuwa specific nikahisi kuna jambo sie wenye ndevu unataka kutuhabarisha,kumbeeeee!!!