CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,789
- 1,782
Mwanaume anasifiwa matumizi
Au sio bibie? Kwani kazi ya pesa ni nini?
Mwanaume anasifiwa matumizi
matangazo ya condoms hamyasikii
yaani likija suala hili huwa nakua mpolee,hata milioni nitatoa.,
Yaani hii kitu inaniboa hata mie.. Unakuta una kidate na demu afu anakuja na rafiki yake apo inabidi uwalishe na kuwanywesha wote.. Hapo tayari mwanaume damage ushaipata hawanaga hata huruma aisee
Hamuwezi kupeana mimba anayepewa mimba ni mwnamke naturally haitobidilika labda Mungu aumbe upya.Umempa mimba..
Which means it was yours and then u give it to her..
Au mmepeana mimba..
kha ndo mana nipo nipo tu...ndo mana chuo ninachosoma wanatoka tu na mibaba,bint akirudi j3 anatupa laki 5 kitandani muone .hahaha wakati unammiminia ulitegemea nini?..Compuss ya chuo flani mbeya walipima wakakuta 53% ya wasichana wan hiv..
yaani laki moja na ishirini ndiyo mpaka binti akutungie story ndiyo umpe? acheni ubahili vijana....
Watu mna hela yani yani yani mnatoa hadi laki na nusu kwa malaya lkn kuchangia JF hata buku 30 hamna wakati huku mnapata madini ya kutosha!!