Kwa wanaume wasiopenda kuchunwa

Mi ishanitokea nikamwambia, nitaikubali mimba baada ya mtoto kuzaliwa na kuona chata yangu.

baada ya wiki mbili akaniambia mimba imeharibika na kutoka.

Mbinu ningine ni kumtumia hela kwa mpesa, / tigo pesa etc. ukija gundua alikudanganya, unatoa taarifa kwenye mtandao, siku akitumiwa na basha lake jingine, hela inakuja kwako.
 
Kuna rafiki yangu baada ya kuhisi anatepeliwa na demu akaamua kupanga siku aende na demu wake mkono kwa mkono mpaka kwa dokta ili waitoe, demu alivyojua wateondoka na msela, ikabidi yule demu acheze dili na yule dokta kwamba apokee zile hela halafu wagawane.
Jamaa kufika demu wake, dokta akasema ni kweli na anatakiwa atoe hela, ikabidi msela ajikamue atoe.
Jamaa kuja kugundua aliingizwa mkenge alichoka, anakwambia wanawake si watu.
 
Ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza ni vyema mkatumia condom,na imethibitishwa Kuwa condom ikitumika vyema inazuia maambukizo ya mimba kwa asilimia 100,.!
 
Kwa kasi hii UKIMWI kuumaliza ni kazi kubwa tu.

Halafu kwa nini uwe na msichana mwanafunzi ambaye hatakiwi kuwa na mimba?

Kwa nini kazi ilazimishe mwanamke asipate mimba?
 
Yaani hii kitu inaniboa hata mie.. Unakuta una kidate na demu afu anakuja na rafiki yake apo inabidi uwalishe na kuwanywesha wote.. Hapo tayari mwanaume damage ushaipata hawanaga hata huruma aisee
 
Yaani hii kitu inaniboa hata mie.. Unakuta una kidate na demu afu anakuja na rafiki yake apo inabidi uwalishe na kuwanywesha wote.. Hapo tayari mwanaume damage ushaipata hawanaga hata huruma aisee

akija na rafiki yake nampotezea najifanya nimepata emergency then nampa buku ya nauli na samahani nyingi then nasepa kama noma na iwe
 
Umempa mimba..
Which means it was yours and then u give it to her..
Au mmepeana mimba..
Hamuwezi kupeana mimba anayepewa mimba ni mwnamke naturally haitobidilika labda Mungu aumbe upya.


Nimecheka sana wanaume wa siku hiz bwana yani laki unaizungumzia?kha ndo mana nipo nipo tu.Yani umelala kavu,mtoto wa shule,bado eti akwambie ana mimba unampeleka kwa dr?!ina mana mnawapaga sh ngapi za matumizi? ndo mana chuo ninachosoma wanatoka tu na mibaba,bint akirudi j3 anatupa laki 5 kitandani muone .hahaha wakati unammiminia ulitegemea nini?Tena nashangaa wanasema kidogo ningekuwa mtoaji mimba ningepiga hyo ya kalou.Kwa taarifa yenu asilimia kubwa ya watoto under 22 sa hivi wamezaliwa na hiv.Compuss ya chuo flani mbeya walipima wakakuta 53% ya wasichana wan hiv.mafikiri hawa wote wauleta wapi?wengi wamezaliwa nao. chaoo
 
kha ndo mana nipo nipo tu...ndo mana chuo ninachosoma wanatoka tu na mibaba,bint akirudi j3 anatupa laki 5 kitandani muone .hahaha wakati unammiminia ulitegemea nini?..Compuss ya chuo flani mbeya walipima wakakuta 53% ya wasichana wan hiv..

Sijakuelewa unamaanisha nini?
Do you support uchunaji?
At the same time ur worried with HIV prevalence..
Amua moja..
 
vilaza ndo wanaibiwa, akisema ana mimba namwambia ntamtolea mwenyewe, mi si ndo fundi mwenyewe
 
yaani laki moja na ishirini ndiyo mpaka binti akutungie story ndiyo umpe? acheni ubahili vijana....

sijakuelewa mkuu kwani wewe unatoa sh ngap?? yab\n hal ya maisha unasema 120 ni ndogo au na wewe ni gamba???
 
Oh my God,we still have a long way to go to educate you guys,bado mnakula kitu without.Hivi hamjasikia kunguru nakisema vaaaaa,vaaaaaaa.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom