Kwa wanaume wa ukweli tu

Nlitaka nikutolee mfano huku kwenye hii mada nikijua hutaingia (si ya wanaume tu) Loooo ningekamatweee!

ahahahhahhahahha hebu shoot huo mfano! lo!veeery curious!
ntamwambia watu8 anisomee
 
Last edited by a moderator:
Na kweli, kitu starehe bwana na sio kuchoshana.

ah!nani kwanza anafanya kazi ya kuhesabu saaasa!yani eti la kwanza hilo,hili la pili,sijui hili la tatu!
ahahhahaha mambo mengine bana!
 
Nasubiri huo mfano...nishaandaa gogoz zangu!!
Tized best habu kuja nd do ze niidful!
huyu mtani wangu anaweza asiweze kulala bila kuona huo mfano!
 
Last edited by a moderator:
ah!nani kwanza anafanya kazi ya kuhesabu saaasa!yani eti la kwanza hilo,hili la pili,sijui hili la tatu!
ahahhahaha mambo mengine bana!
Siku hizi hakunaga haya mambo ya kukomeshana.......hehehehee
 
Hahaaaa, acha tu best nisiseme apa, ntakunong'onezea,
Naona mnatafutiwa standard rate! ikishatimia full stop, usubiri kumi na sita bora au nusu fainal tena.
Iisipotimia aah stress za kazi, sijala vizuri, nimepia tu kiepe, ohh nina apoitment, visingizio kibao. Kila kukicha tunajaribu kujipangia visheria sheria. complication afta complication.

ahahahhahhahahha hebu shoot huo mfano! lo!veeery curious!
ntamwambia watu8 anisomee
 
Siku hizi hakunaga haya mambo ya kukomeshana.......hehehehee

ili iweje sasa!
kuna mtu aliwahi kuja humu na thread eti kaweza kufika goli saaaba!
mtaa mzima hawaamini!
yani was sooo childish!
 

aahhahahhaaa sasa na kiepe nacho ni chakula kabla ya mlo!
ahhahhahahha no wonder watu wanaona deal sana kuhesabu haya makitu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…