kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Kigezo kimoja umekiacha dada,CHA KWENDA ANGAZA!!!! au hutojali?????
Tulioishia lasaba tukae kimya hii haituhusuMimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
Pole sana dada! Mwenyewe nimesoma comments za baadhi ya wanaume nikawa very disappointed na attitudes walizo nazo! Nimewaza tuna jamii ya aina gani! Kama huwezi kuwa mwema kwa usiyemjua usitegemee kuwa mwema kwa unayemjua. People have the right to choose their way of life and we should stop our prejudice to people we know nothing about their paths! What's wrong with our people for really? Na utakuta baadhi yao hata wana degree au zaidi. If education couldn't help us see things differently then what else could be done? And they call themselves great thinkers! Great thinkers on what? ShamefulSorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
! I doubt if they could make good husbands either!Hizo ni dalili za inferiority complex my friend! Yaan wenye sifa zakuwa waume wamekuwa wachache sana despite we are having many being called men! Wazazi wenye watoto wakiume hebu jitahidini ku instill self esteem yakutosha kwa watoto wenu ili vizazi vinavyofatia vya mabinti wapate wanaume wenye sifa zakuwa waume.Sijasema lazima awe na bachelor my brother, nimesema ni vyema akawa nayo, hiko ndio kilichokukea? mbona bachelor sio kitu cha ajabu nowdays!
Wewe si ni mwanamke wewe au umebadiri jinsia?Ningekuwa dom ningekufuataa sema nipo mbaliiiiiiiiiiiiiii
na WasandaweUtampata unaempenda dadaangu. Haya wagogo na warangi fursa hio.
Tangu lini nikawa mwanamke nitake radhiiWewe si ni mwanamke wewe au umebadiri jinsia?
I'm sorry bro.Tangu lini nikawa mwanamke nitake radhii
ushaur wako nimzur san ilatu kuna vipengele haviko sawa.kusema asitafte aombetu na kufunga hilo sio kweli.nikweli kua yupo wake alopangiwa tayar na mungu toka amezaliwa ila pia nilazma kumtafta nawakat huo akimuomba mungu sio kila kitu unaweza kuomba kikajatu vingine nilazma jitihada ziwepo.Pole mamy wachukulie kama walivyo saa zote vichwa vyao vya chini ndio vinaongea kwenye swala la mahusiano wasamee bure dear...utapata tu mwanaume wakò aliyekupangia Mungu but kwa mimi ninavyoamini kila kitu kinaenda na maombi...wala usitafute funga omba atakuja mwenyewe mpenzi usitafute kabisa muombe Mungu tuuu sikio lake sio zito