Kwa wanaume wa Dodoma tu!

Kwa wanaume wa Dodoma tu!

Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
Kwahiyo hata bikra dada yangu haipo!? Haya ngoja waje hasa Falcon Mombasa na Mshana maana ndo wadau wakubwa wa hizi fursa.
 
af mkumbuke me cyo mhanga wa hlo ilA najarbu tu kuongea hal halisi...!
 
Mim nipo dodoma, kipato changu kwa mwez ni 2mil. Lakin sina bachelor naomba ni pm
 
Hehehehee.ndo maana sitaki kuhama dom, ntakutafutaaa
 
Hivi huko mtaan anaanzaje kumtongoza me, na akimkatalia aibu ataiweka wapi , na walioko mtaan hawana vigezo anavyotaka au kagua mtaan kwako ni wangapi unaowafaham wenye vigezo alivosema.jaman Aachen awa Dada wanawakati mgumu sana Sena tu wanavumilia wangekuwa me wangebaka kila siku
teh teh teh aise mdau ndiyo maana wanasema mchagua nazi uambulia koroma vigezo vingi utadhani anatangaza nafasi ya kazi aise duuuuuu
 
Sawa kuweka vigezo.... ila na sisi wanaume tuna standards zetu... mojawapo ni mke asiwe anayepanga sheria hasa mapema hivi... punguza masharti... mf. ungeweka, awe na upendo wa kweli, pia mahali- unapong'ang'ania Dodoma ukikosa utafanyaje? Sikuhizi kuoa ni popote.... haya.... Ngoja tukuachie wenyeji wa Dom.. .(utakosa mume kwa kuchagua mkoa)
 
Umeshazeeka harafu vigezo kibao.. Mapenzi hayahitaji elimu bibie yanahitaji upendo wa dhati
 
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.


Ushauri: Long Distance marriage
 
Kikicjobaki ni kuliwazana maisha yaende mwaya...!karibu mile mbilii
 
Hii mambo yakulazimisha ndoa shida ndo zinaanzia hapo. Wewe tulia tu kama una tabia nzuri sura inaeleweka wala usiangaike watajileta wenyewe but punguza nyodo.
 
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.

Bachelor wa kitaa humtaki???
 
Hahahhahaha mkute mdada wa hivi akiwa 18-25..... Hizo nyodo zake lazima ukae, yaani hapo ujana wote kaumaliza kila size kaiona, kila style kacheza na uwezekano mkubwa ni MTERA
Sio vizuri kaka,ukiwaza hayo wala hutaoa maana hii practize hata wewe unaifanya/umeifanya!!!waachieni wanaotafuta wenza jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom