Tena yamemkuta makubwa, halafu kajidai kufikisha ujumbe kinamna namna ili asishambuliwe na wamama na wadada wa humu JF, akaandika kuwa watusamehe kwa sababu tuna ukichaa, mm naona huyo mkeo ndiyo mwenye huo ukichaa, Khaaaaaaaaaaa! Mimi sikubali kabisa. Naenda kushitaki katika mahakama ya Dunia.Mkuu yamekukuta?
Oyeeeeeeeaisee ndio maana shemeji yenu hua ana geuka chatu gafla kumba mambo ndo yako hivi!!
vidume oyeeee
Wanaume wenzangu oyee! Shwari?
Naomba wanaume wenzangu mtambue tabia za dada zetu, wake zetu na mama zetu.
Katika kila siku tatu mpaka tano katika mwezi dada zetu, wake zetu na mama zetu huwa wanapatwa na uchizi. Kwa hiyo siyo kila jibu baya litokalo kwao likuumize na pengine likufanya uchukie na kumdhuru. Tuwe na huruma kwa sababu mungu ndio alivyo umba.
Wanaume oyee!
Onyesha mfano katika jamii ya kuwaheshimu wanawake.
Jukumu letu ni kuwapenda sana wake zetu
Asanteni
Hapo ndio balaa kweli kweli. Upo njiani unapigiwa simu niletee mchemsho wa kuku. Ukimletea sasa ohh aina sijui nini kula mwenyewe mchemsho gani huu Aloo!!
Mkuu hacha tu. From no where unapata jibu ambalo ukutegemea.
Mfano wanaume wakitoka mbele wewe utatoka. Au anakuambia wewe mwanaume suruali tu.
Nivyema tuwafahamu na kuwapenda
Issue hapa ni kukubaliana na ukweli, soma biology utaelewa zaidi
Mi, nimgumu kuamini mambo kama haya ( yasio na tafiti yoyo te ) ila leo niseme kwahili naweza amini, maana nijana tu nime kwaruzana na "Cunhada" wenu baada ya kunitamkia kua shahawa zangu ni maji tu hamna lolote kilicho fuata namimi nikamkashfu kadri ya uwezo wangu, ila nashukuru maana tuliyamaliza fasta baada ya kila m-moja kula asali.