Kwa wanaume tu.


nashukuru mkuu kwa ushauri wako
 
Hapo ndo wanaume mnapochemkaga lolz... Yani umri ukifika wa kuoa ndo unatafuta wa kumuoa.. Huko nyuma kote unakuta unaanzisha mahusiano yasiyo na tija.. Bora liende ili mradi papuchi unapewa.

Kwanini uwe na rafike wa kike ambaye from day one unajua huyu sina future nae au hanifai???
Wakati wote ni vyema kuwa na mahusiano yenye malengo positive..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Smile unaua.. Eti umeoa dalali..
Sebule kama uwanja wa taifa na kuna uwanja mkubwa tu unaweza jengewa chumba cha pili..


Kuchagua chagua sana utapata koroma,,, kama unavyosema kuna muda unajilipua tu,

mbona ya kujiripua ni hatari sana unaweza ukaoa ukawa una acha kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…