Kwa wanaume tu.

Haya mashairi yako yamenikumbusha wimbo wa mwana FA mimi namademu damudamu.
 

Uko serious au? Maana jina lako tu utata.
 

Yani jina lako limo sahihi na comment zako, umenifurahisha kwa kweli. Hah hah hah!
 
kama ni muislam weka nia ufunge cku 3 umuombe mungu akupe mke mwema, sio kuchunguza chunguza kutakusaidia nn? Unachunguza nn? Sura? Tabia? Au bluetooth? Acha utoto' kama ni mkristo kaonane na mchungaji wako. Kwa akili zako unafikiri hawa waliomo humu jf ndo watakusaidia kumpata mke mwema? Sanasana utaingia mkenge, ninachokushauri kama huwezi kufuata misingi ya dini we oa yeyote utakaempenda halafu utamwambia unavotaka awe, mb watu wanabadilika'
 

Ndugu, suala la "mke mwema" sio complex kiasi hicho, asikutishe mtu. Na usitishike na uwepo wa "vicheche" wengi wanaojulikana kama "habari ya mujini". Wapo mabinti wazuri na wenye maadili mema wengi tu, issue hapa ni personal priorities, yaani wewe unataka aweje has maana hata hayo maadili yanatofautiana. Jambo la msingi sana ninalokushauri ndugu ni kuwa mshirikishe Mungu katika suala hili maana hakika nakuambia hutampata anayefaa kwa kutumia macho tu maana mtu mwenyewe ni yule aliye ndani yake, sio urembo au umbo vitu ambavyo kimsingi havina maana kabisa linapokuja suala la mwenzi wa maisha. Amini usiamini mahusiano ya mume na mke huegemea zaidi nguzo ya maadili mema, hekima, uvumilivu (kuchukuliana) na heshima kuliko sura au umbo la mtu ambalo halina mchango wowote katika kuifanya ndoa iwe poa au la. So, take time -mambo haya hayataki haraka kiivyo vingenevyo utapata hata kahaba aliyevaa mavazi ya "wenye maadili" tu then baadae bomu linalipuka. Pray and act men!
 

Jimwagie tindikali usoni alafu uone itakuwaje
 
hahaha mie lazima ndege ninayemuwinda nimuarrest endapo ataingia anga zangu,huo wimbo naomba ukurudie mwenyewe loh

next time ukija home niambie nikuwekee huo wimbo..am sure hujauelewa!!!
 
next time ukija home niambie nikuwekee huo wimbo..am sure hujauelewa!!!

hata kuusikia sijawahi loh mi napendelea kusikiliza kwaya,halafu ww hiyo next time nikija home duh kwani nishawahi kuja au kiswahili sikielewi vizuri??????????????????
 
Funga, sali na kuomba ucku na mchana kwa cku7. Mungu atakuonesha njia.
 
Wao wamekusoma kama wewe unaweza kuwa ni mume mwema ila bahati mbaya wewe inakuchukua muda mrefu kuweza kuelewa somo wakati wenzio somo wanalielewa katika muda mfupi sana. Changamka kijana ukichelewachelewa utakuta wote wameshachumbiwa.




 
Last edited by a moderator:

Haya tumekusikia nenda sasa ukaandae chai utuletee wakati sisi wanaume tunaendelea kuongea masuala ya man-to-man.
 
Haya tumekusikia nenda sasa ukaandae chai utuletee wakati sisi wanaume tunaendelea kuongea masuala ya man-to-man.

by man to man unamaanisha ana kwa ana au una maana nyingine. You know l can have a man to man conversation with you.
 
by man to man unamaanisha ana kwa ana au una maana nyingine. You know l can have a man to man conversation with you.

Hapana nilikuwa ninamaanisha wanaume kwa wanaume. Kama sikosei ana kwa ana tafsiri yake ni face-to-face. Ila I stand to be educated kwani kiingereza ni lugha yangu ya tatu kujifunza na bila shaka siko mahiri sana kwenye lugha hii.
 
Wao wamekusoma kama wewe unaweza kuwa ni mume mwema ila bahati mbaya wewe inakuchukua muda mrefu kuweza kuelewa somo wakati wenzio somo wanalielewa katika muda mfupi sana. Changamka kijana ukichelewachelewa utakuta wote wameshachumbiwa.



ninacho amini pupa mara nyingi usababisha mtu kutofanya maamuzi sahihi, siku zote sipendi kufanya mambo kwa pupa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…