Kwa wanaume tu.....!

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Unataka kusafiri kikazi, wakati unapaki vitu vya kuondoka navyo mke wako kwa upole anakuambia "mme wangu chukua hizi condom incase vikitokea vishawishi zitakusaidia na wewe unazipokea... Wakati unaondoka unataka kupanda gari unaona mkeo anakukimbilia anakuambia.."mme wangu samahani naomba condom kidogo incase nikizidiwa na vishawishi zitanisaidia...".! Vipi kidume utatoa?
 
mhm...wacheni kudanganyana hapa....highly unlikely mwanandoa akicheat atatumia condom. chezea utamu orijino nini wewe...ndom utaona upuuzi tuu
 
Unataka kusafiri kikazi, wakati unapaki vitu vya kuondoka navyo mke wako kwa upole anakuambia "mme wangu chukua hizi condom incase vikitokea vishawishi zitakusaidia na wewe unazipokea... Wakati unaondoka unataka kupanda gari unaona mkeo anakukimbilia anakuambia.."mme wangu samahani naomba condom kidogo incase nikizidiwa na vishawishi zitanisaidia...".! Vipi kidume utatoa?

Absolute nonsense.
 
Mtaani tunahiita, ngoma drooo au 50% 50%
 
Nitamwambia wee piga tu kavukavu, usijinyime uhondo, I love you darling
Unataka kusafiri kikazi, wakati unapaki vitu vya kuondoka navyo mke wako kwa upole anakuambia "mme wangu chukua hizi condom incase vikitokea vishawishi zitakusaidia na wewe unazipokea... Wakati unaondoka unataka kupanda gari unaona mkeo anakukimbilia anakuambia.."mme wangu samahani naomba condom kidogo incase nikizidiwa na vishawishi zitanisaidia...".! Vipi kidume utatoa?
 
Unataka kusafiri kikazi, wakati unapaki vitu vya kuondoka navyo mke wako kwa upole anakuambia "mme wangu chukua hizi condom incase vikitokea vishawishi zitakusaidia na wewe unazipokea... Wakati unaondoka unataka kupanda gari unaona mkeo anakukimbilia anakuambia.."mme wangu samahani naomba condom kidogo incase nikizidiwa na vishawishi zitanisaidia...".! Vipi kidume utatoa?

this is too hypothetical, kwani hawezi kwenda kununua? Au mleta vishawishi kwa mke si anaweza kwenda nazo?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom