Kwa wanaume Tu!

Kwa wanaume Tu!

Mbinu hiyo niliwahi kutumia japo mimi nlimuahidi simu huku kwetu wanaita "tachi skrini"
 
Inabidi atafute uongo mwingine na sio rahisi kama mpaka kadanganya ndio kapigiwa simu unadhani atakula kirahisi.
Ndio ataweza kula kiraisi kabisa, kwasababu yeye atataka kujua ni zawadi gani ambayo ameandaliwa Sasa hiyo nafasi ya kuja kuiona hiyo zawadi unamlengesha Getto directly mpaka ndani
 
Ukiwa mkweli asilimia 200 utateseka sana... mara zingine lazima ufanye kitu kinachoitwa "True Lies"
umenikumbusha mbali sana
upload_2017-3-13_10-3-3.png
 
Back
Top Bottom