Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Karibu kiumeniAah nimevaa surual hapa najihisi kidume nimejipa ruksa kuchangia huu uzi
Karibu kiumeniAah nimevaa surual hapa najihisi kidume nimejipa ruksa kuchangia huu uzi
Emy my wewe unajua mbinu zilizokuwa zinatumiwa na waliotangulia?Kabisa bila hata kutaka kujua waliowatangulia walikuwa wanatumia mbinu za aina gani.
Kwa hiyo umekosa njia nyingine ya kufanya kwa taarifa yako hapo ndio umeharibu kabisa.
Mana mwisho atakuona bonge la msanii na ndio utakuwa umempoteza kabisaa
Hapo sasaKabisa bila hata kutaka kujua waliowatangulia walikuwa wanatumia mbinu za aina gani.
Kukubali tu sifa ya miguu mizuriAsante sana ila hiyo miguu ya mke wangu.....
Kwa hiyo mimi mwanaume eeeKaribu kiumeni
Hata kama umeshadanganywa utasema ukwelii?Aisee hata sijawahi
Hahahaa! Mpaka alete mrejeshoAtakuona msanii baada ya yeye kuteseka pia kama mwenzie. Mkuki kwa nguruwe bana ... Hapa ngoma drooo in majuto's voice.
Kwani nikikudanganya utafaidika nini?Hata kama umeshadanganywa utasema ukwelii?
Nina imani hukumdanganya na uongo hewaHapo sasa
Acha wauwane mie napeta na mama vivian wangu
Mmmh,spoko hizooUna miguu mizuri....
Si umeingia kwenye men's talk?Kwa hiyo mimi mwanaume eee
Ndo mana tuko pa1 mpk sasaNina imani hukumdanganya na uongo hewa
HahaaaaaSi umeingia kwenye men's talk?
anatufundisha utapeli...!Sasa ulivyosema kwa wanaume tu sasa wakija kwenye hii thread yako wachangie nini?Au umewaita wasome story yako au wakusaidieje?
Mi Mwenyewe Nimepata Mashaka Hapa Na Hofu Inapiga HodiNaona umeamua kutimia hadi username yake.
Hongera kwako na kwake pia mama vivian lait ungemdanganya kwa ahadi hewa ungemsikia kwenye bomba aiseeNdo mana tuko pa1 mpk sasa