Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,707
- 128,344
Inabidi atafute uongo mwingine na sio rahisi kama mpaka kadanganya ndio kapigiwa simu unadhani atakula kirahisi.Lakin atakua keshaliwa sio?
Inabidi atafute uongo mwingine na sio rahisi kama mpaka kadanganya ndio kapigiwa simu unadhani atakula kirahisi.Lakin atakua keshaliwa sio?
Kumbuka ulishasema sio wote na mimi sio mmoja wao.Lakini wanawake mnadharaulika coz ...mnaonekana mnamtaka MTU kwa kitu na sio utu
Hapo atakula kirahisi ...me pia mademu wengi nimewapata kupitia mbinu ya kuwadanganyia vitu km vizawadi...mapema tuu wakachanua miguuInabidi atafute uongo mwingine na sio rahisi kama mpaka kadanganya ndio kapigiwa simu unadhani atakula kirahisi.
Mahaba niue a.k.a mahaba mubasharaaaaa[/QUOTE
Inaonekana hadi magauni yake unavaa
Aiseee
Hata mimi naunga mkono.Kumbuka ulishasema sio wote na mimi sio mmoja wao.
Hahaaaa! Ilikuwa vyema sijui kwako?
Uliwadanganya ndio lakini si waliziona hizo unazosema kama zawadi ndio mana wakachanua. Sasa huyu hana unadhani kitamtokea nini?Hapo atakula kirahisi ...me pia mademu wengi nimewapata kupitia mbinu ya kuwadanganyia vitu km vizawadi...mapema tuu wakachanua miguu
Ndio muwaelekeze wajue mapenzi sio udanganyifu wa visivyoonekana.Hata mimi naunga mkono.
kuna wanawake wana staha,sema vijana hawajapewa jicho la 3 la kuwaona,acha tuliowapata tufaidi
PamojaIlikuwa powa pia kwangu, thanks.
Sasa ulivyosema kwa wanaume tu sasa wakija kwenye hii thread yako wachangie nini?Au umewaita wasome story yako au wakusaidieje?
Nitakuja na somo maalumu kwa ajili yao.Ila usiwashangae sana mana bado ni wavulanaNdio muwaelekeze wajue mapenzi sio udanganyifu wa visivyoonekana.
Hahahaaaa! Bado wataponda mana wanajijua wenyewe.Nitakuja na somo maalumu kwa ajili yao.Ila usiwashangae sana mana bado ni wavulana
Imekula kwakeInatakiwa uangalie na uongo wenyewe sasa huo alioufanya huyo mwenzio una faida au hasara?
Walikurupukia mapenzi enzi za baleheHahahaaaa! Bado wataponda mana wanajijua wenyewe.
Huo ndio ukweli amelikoroga eti anahadaika na kupigiwa simuImekula kwake
Kabisa bila hata kutaka kujua waliowatangulia walikuwa wanatumia mbinu za aina gani.Walikurupukia mapenzi enzi za balehe
Solution atafute tu hio zawadi ya 150k, na akishatoa hio zawadi ajue kibuti juu.Huo ndio ukweli amelikoroga eti anahadaika na kupigiwa simu
Tutakuozeshaaaaa!!!! HahaAah nimevaa surual hapa najihisi kidume nimejipa ruksa kuchangia huu uzi