Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

yani hadi alivyomkunjua kunjua ... mmoja akasema eti hadi alimtoa kinyesi jamani kama unampasi mwenzio siiwe siri yako loh....

ha ha ha so your proud of using it?

kuna rafiki yangu tulipokuwa o level yaani asigegede atanisimulia mpaka nikawa namkwepa halafu na stop kwa story zake noma kweli
 
Mkuu kwanza habari za siku.
Umesema kweli ni kutojiamini na kutojitambua naweza kusema hivyo, lakini tatizo hilo lipo sana hasa siku hizi na hapa JF wapo wengi tu wanapeana uzoefu kupitia PM......
 
hii mambo ni kote kote, kuna wadada nao wanatangaza vile vile, kuna mdada niliwahi kumsikia anajisifia eti hadi sasa ameishatembea na wanaume 40 akiwemo na ali kiba. Mwingine naye niliwahi kumsikia anaji-proud eti katembea na fulani na fulani (akiwataja wale wanaume wa maana). So ni sifa kama zilivyo sifa nyingine za kijinga! na inategemea unamsimulia nani!! mara nyingi ni kutaka aonekane yuko juu kuliko nyie (anawasimulia)

Hivi dida naye si alitangaza kunaniliii na zito!!! au nimepoteza network
 
kuna rafiki yangu tulipokuwa o level yaani asigegede atanisimulia mpaka nikawa namkwepa halafu na stop kwa story zake noma kweli

si busara jamani muache hiyo tabia
 
Miss chagga, hayo utakuwa umeyasikia kwa wavulana, jaribu kijichanganya na wanaume ili utujue vizuri.
 
yani hadi alivyomkunjua kunjua ... mmoja akasema eti hadi alimtoa kinyesi jamani kama unampasi mwenzio siiwe siri yako loh....

ha ha ha so your proud of using it?

kuna rafiki yangu tulipokuwa o level yaani asigegede atanisimulia mpaka nikawa namkwepa halafu na stop kwa story zake noma kweli
 
dahh najisikia raha sana nimetembea na miss chagga...

umeonaje hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…