ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 649
- 587
Mkuu miss chagga Huenda usipate hapa jibu la kuridhisha kutokana na ukweli kwamba kila mtu anajitahidi kukwepa! Ukweli sisi wanaume ni vigumu kukaa kimya bila kueleza kabisa hata sifa chache juu ya mwanamke mrembo hasa wanaonyatiwa na wengi! Hii huwa ni hali ya kuonyesha umwamba tu kwa wengine wala haina maana kubwa! Kwa wale wanaojidai kuwa hawasemi ni waongo! Si lazima useme kijiweni hata ukimsimulia rafiki yako tu,ndo kusema kwenyewe. Kabla ya kuwa kwenye ndoa,me nimesema sana!!!Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
Mkuu miss chagga Huenda usipate hapa jibu la kuridhisha kutokana na ukweli kwamba kila mtu anajitahidi kukwepa! Ukweli sisi wanaume ni vigumu kukaa kimya bila kueleza kabisa hata sifa chache juu ya mwanamke mrembo hasa wanaonyatiwa na wengi! Hii huwa ni hali ya kuonyesha umwamba tu kwa wengine wala haina maana kubwa! Kwa wale wanaojidai kuwa hawasemi ni waongo! Si lazima useme kijiweni hata ukimsimulia rafiki yako tu,ndo kusema kwenyewe. Kabla ya kuwa kwenye ndoa,me nimesema sana!!!
Kwa nn msitoe!?? Jambo la muhimu hapa ni kwa nyie kuwa na vitu adimu! Kwa mfano mimi sipendi kweli siku ya kwanza nakutana na dem awe na kufuli jeusi au jekundu! Yaani atakuwa amenivunja nguvu kabisaaaa! Ni muhimu kuwa msafi ili nikusifie.Duh kuna umuhimu wa kutokuwapa papuchi zetu
Wamefamya matusi
Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
Duh karibu tena
Mkuu huu ndio ukweli mi mwenyewe nimesema ni unafiki ili watu kuvuta wateja wanao-penziana "PM" ili kuwapa confidence madada wa humu , hamna lolote ni katabia ka wote si wanaume wala wanawake ila kwa kuwa hoja ni wanaume ndio hao wanafiki(sisi)wote wanaosema ni ubwege au ni ulimbukeni utakuta ndo wanaosema sana...
Anajisifu uongo unakuta mambo hawezi anaishia kuhema na kutoa ulimi wote nje kama mbwa mwenye kicha. Wengi wao siku hizi wanaojisifu wanamegwa wanajipendekeza kwa wadada ukiongea nae siku mbili na kuongozana nae anakwenda jisifu ili asionekane anashikishwa ukuta.
kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamani
Ni kheri hata hilo la kusema tu flani nina mahusiano naye ama nilisha cheza naye sita kwa sita kuliko tabia ya kuanza kusema yaliyo ya ndani kwa wasio husika{third part}na hasa pale inapo onekana kutofautiana. Na hili haliko upande wa wanaume tu mpaka ninyi wanawake. Mbona kabla ya uhusiano kuvurugika hatukuyasikia? Iweje leo? Na ni hakika gani uliyo nayo kwamba wewe umekamilika? Kwa kweli hiki kitu nakichukia mpaka hatua ya mwisho.
kumla mtu nakujisifu ni udhaifu tu..
as watu wenyewe tushatia akilini mwetu kuwa anayechezewa ni mwanamke, hiyo dhana ndiyo inaleta na hako kahali
Kwa nn msitoe!?? Jambo la muhimu hapa ni kwa nyie kuwa na vitu adimu! Kwa mfano mimi sipendi kweli siku ya kwanza nakutana na dem awe na kufuli jeusi au jekundu! Yaani atakuwa amenivunja nguvu kabisaaaa! Ni muhimu kuwa msafi ili nikusifie.
kwa leo inatosha nadhan ni muda wako nawe kwenda kuwapikia wenyewe isije kesho tukakuta post "Aniacha kisa kutompikia" mnamambo watu wa humu. Hata mtu akiss-iwe utakuta uzi humu "Jana nimekiss-iwa"
Hahahahaaaa!!! Ni ufahari, ushindi,starehe na vyovyote vile utavyolifikiria inategemea na mtu umeamua kufanya hivyo kwa malengo gani. Mfano wanaume wanabishana kwamba yule humuwezi ...mtoto yule anapiga sana watu vibuti n.k unategemea mtu akifanikiwa ataacha kurudi kutoa ripot na kuwaprove wrong wenzake?
Pia umeongelea upande mmoja tuu kwani na nyie kina Miss Chaga na wenzako kina Lara, Munkari na wengineo hamuadithianagi etiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
Kama ujinga ungekuwa na majani basi ungeota majani leo.