Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

point yako ww umesema huwezi kutangaza unaona kama ni upuuzi.
Lakn wakat huo umesahau kuwa umetuambia umbedate na wanawake wawili tofauti. Sasa hapo unatofauti gani na anayetangaza?
Kwan kulikuwa na ulazma gani wa kuesema wanawake uliogegeda?

Do ur home work hapa tupo kwenye forum tunajiachia, kuna wengine ni walokole na waimba kwaya kanisani lakini MMU wanajiachia kwa raha zao.

Kama bado hujaelewa kwa nini nimeyasema hayo kutoa ushuhuda wa madhara xma kuropoka basi wewe una zaidi ya tatizo katika mfumo wako wa uelewa.

Hivi unadhani rafiki kipenzi akijuwa mwanamke flani uliwahi kudate unadhani yeye atakuwa na mzuka naye? Kama hujanielewa thats is ur problems not mine.
 

!
!
safi sana sana.........siongezi
 
Anajisifu uongo unakuta mambo hawezi anaishia kuhema na kutoa ulimi wote nje kama mbwa mwenye kicha. Wengi wao siku hizi wanaojisifu wanamegwa wanajipendekeza kwa wadada ukiongea nae siku mbili na kuongozana nae anakwenda jisifu ili asionekane anashikishwa ukuta.
 
Hata beberu akishaona utu.pu wa mbuzi jike...lazima anuse, anyanyue kichwa juu na kushukuru..ha ha!
It's done by teens..mtu mzima hawezi sema kwa watu amemlala flani na yuko vipi kwa bed..!
 
miss chaga usitegemee majibu sahihi ya swali lako hapa kila mtu atajifanya yeye atangazagi kwa masela

nikuhakikishie ni vigumu kidume kumgonga demu alafu asiseme kabisa ni VIGUMU mno

Sio wote wanasema.
 

Mambo safi.
Jibu la ukweli ni hili:

Kabla ya kukufuatilia huwa mwanamme hana nia ya kuwa na wewe nia yake ni moja tu umpe papuchi kisha ibaki stori kwa wote.
Huu ni mchezo hasa kwa wale wakina dada wenye majibu ya dharau dharau ndio huwakuta. Kwa mfano mtu akikusalimia wewe unampa majibu machafu bila wewe kujua kuwa yale majibu yamesikiwa na rafiki yake ambaye ndie anaeumia hivyo huyo rafiki ndie atakaekuja kwako mukaenjoy kisha ukishampa papuchi stori nzima anapewa yule uliemdhalilisha na hapo mkija kuonana tena hukuchokoza kwa makusudi ukitoa lugha chafu nae anakupa stori yajo mwenyewe.
Nadhani umeelewa vema.
Sisi wanaume huwa tunafanya makusudi kwa kuwa hatupendi nyodo.
Mapozi kupita kiasi.
Mpodolo.
Dharau.
Dhihaka.
Kutengwa.
Kusimangwa.

Ukiona kuna stori za mwanamke kuhusu mambo yake ya papuchi basi ujue tabia hizo hao juu ndio kawaida yake na hapo ndio anakomolewa.
Ahsante kwa kunisoma
 
Hata beberu akishaona utu.pu wa mbuzi jike...lazima anuse, anyanyue kichwa juu na kushukuru..ha ha!
It's done by teens..mtu mzima hawezi sema kwa watu amemlala flani na yuko vipi kwa bed..!

Ha ha ha aya bana
 
Nimeamini kweli we Kilaza kwaiyo wataka niambia wote waliogonga wametangaza iyo ni kwako na ulimbukeni wako mbele ya wenzako yawezekana walikuwa wakikushangaa kwa jinsi ulivyo -----@Kilaza
 

Tutaziacha basi loh
 
Nadhan wanaojisifu ni wanaume dhaifu na hawajielewi, so kujisifu Ni km preventive mechanism!!!!
 

Mimi kwangu ni wacha wayaone wenyewe, mambo yote kimyakimya! Kujitangaza ni ulimbukeni na karibu wanaume wote hupitia, hasa katika age ya kubarehe. Lengo likiwa ni kujionyesha jinsi gani mwanaume amekamilika. Akifanya ukubwani lazima kuwe na walakini? Vinginevyo aliruka stage au hayuko commited to someone!
 
Sawa tutawajibu basi na nyie mtujibu kwa nini mwafanya hivi? Kwa nini kutunyima raha?
Wanaokataa ni wanafiki,

Sababu za kufanya hivyo

1. Nyodo za vidosho wakati unakisarambia.
2. Kubadilishana uzoefu.
3. Usipohamasisha wenzako kupiga kazi(Kubunya) ni kupelekea wanaume wengi kama si wote kudharaulika(Tunaitwa Wabovu kitandani-rejea thread zenu humu "Kwa nini wanaume wengi siku hizi ni wabovu kitandani.
4. Biashara ni matangazo kwa taarifa yako wanawake wengi hugongwa hata kama wameolewa baada ya sifa hizo kuvuma(Kutaka kuonja na kuthibitisha)

Kwa upande wangu ruksa kusimulia ila sio kwa kudharirishana bali kufundishana na kuhamasishana.

Asante! miss chagga
 
Duh karibu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…