Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
he! kumbe sitakiwi humu ndani, ngoja nitoke ndukiiiiii!!, tukaanzishe na thread yetu ya wanawake tu ss
twende mpenzi, tukaanzishe Mabeberu ya kienyeji na Mabeberu ya kisasa.
Sory kumbe wanaume tu ndo wanapaswa kuchangia haya mie nimepita kusalimu hamjambo wanaume woteee????
Hatujambo kabisa tupo tunasherehekea mjadala 'kienyeji' vs 'kidhungu' kulaweyaaaaaaaaaaaaa!!!!!Sory kumbe wanaume tu ndo wanapaswa kuchangia haya mie nimepita kusalimu hamjambo wanaume woteee????
Mwanamke natural harufu anayotoa ni natural ukinusa kikwapa unapata harufu yenyewe hali kadhalika pale "palipoanzia miguu" ndo usiseme. Halafu wana nguvu hawachoki haraka. Sasa njoo kwa hawa artificial utajuta kila unaponusa ni harufu ya chemikali tu. ptuuuu
Wakienyeji ana mvuto endelevu unaotia hamasa, tatizo wanaadimika cku had cku kwa kuukimbilia ukisasa.