KWA WANAUME TU (no ladies plz)

Jamani samahanini nimeshindwa kujizuia loh mna hatari nyie............. Duh nimeingia choo cha kiume! Natoka


Ha ha ha ha ha haya mambo ya sijui thread ya wanaume tu au wanawake tu si mazuri hata kidogo. Mara hatutakawia kusikia thread ya waislamu tu au wakristo tu na hata za kikabila. Hapa wote tuko kama Watanzania kamwe tusiruhusu thread zenye ubaguzi wa aina yeyote ile.
 
Binadamu ni kiumbe mvumbuzi sana. Mbona tukiwa tunatoa gesi, uwa tunapiga miluzi? Unaweza kukaa na mtu masaa 24 na usijue kuwa katoa gesi.
 
Mimi nafikiri ningehamia msituni, watu wengine 24/7 tuko fresh either by imagination or by feelings

Mkuu Nguli(kule kwetu Kigoma nguli maana yake ni clit**) nimecheka sana baada ya kulinganisha jibu lako na avatar yako..ha ha haaaaaaa
 
Ha ha ha ha ha haya mambo ya sijui thread ya wanaume tu au wanawake tu si mazuri hata kidogo. Mara hatutakawia kusikia thread ya waislamu tu au wakristo tu na hata za kikabila. Hapa wote tuko kama Watanzania kamwe tusiruhusu thread zenye ubaguzi wa aina yeyote ile.


Hapana hapa nia haikuwa ya kubagua zaidi bali ni tahadhari tu!
 
ingerahizisha kazi ya kutongoza maanake demu akisia mwiluzi tu na yeye sisimuka kwa hiyo unakula kiulani tu.
 
kusingekuwa na tatizo lolote, kwani Muumba wetu kaumba viungo vyetu na namna vinavyofanya kazi kwa kusudi maalum, hivyo kama ingekuwa hivyo kungekuwa na sababu yake na namana ya control hivyo isingekuwa hajabu. kero yoyote kwa mluzi huo ungeonekana ni tatizo (ugonjwa) kama mtu kujikojolea vile!
 
swali la kivushi.....!


Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha!

Hii ingekuwa displin tosha. Maana tukiona tu demu mara oooh ona, akikaa karibu yako ndo kabisa unaota tayari ushamvua na kubandika,,,lol.
Hii inanikumbusha utani mmoja ati Kule Roma Italy kuna siku mashemasi walikuwa wanapewa uapadrisho. Ili upate upadrisho lazima uwe rijali, lakini at the sametime uweze kuzuia tamaa. Basi wakabuni mbinu ya kujua nani anaweza kuzuia tamaa zake. Siku hiyo kulikuwa na watu 12 waliokuwa wanapewa upadrisho kati yao mwafrika alikuwa mmoja tu wale 11 walikuwa wazungu. Viongozi wakaamua kufunga kengele ndogo lakini zenye mlio mkali kwenye zakari zao. Wakavuliwa nguo wakabakia utupu. Basi akaletwa demu mmoja bomba sana, akapita kwa madaha mbele yao, mara mlio wa kengele ukagonga kwa nguvu, kuangalia ni mwafrika na bahati mbaya zaidi kengele ikaruka mbali kidogo. Viongozi wakamwambia HAYA NENDA KAOKOTE KENGELE YAKO NA UENDE KWENU WEWE HUFAI. Yule jamaa kwa huzuni akapiga hatua tatu mbele akainama kuokota kengele yake. Mara ghafla kengele zilizo bakia zikapiga kelele kwa nguvu, kisa wameona **** la yule mwafika. Viongozi wakafura kwa hasira na kuwaambia wale waliobakia, FADHALI YULE ALIYEMTAMANI MWANAMKE KULIKO NINYI MLIOMTAMANI MWANAUME MWENZENU. NENDENI NYUMBANI NA HAMFAI KUWA MAPADRE. NA WEWE MWAFRIKA TUTAKUPA UPADRISHO KESHO.
 
Mbona isingekuwepo tofauti naona pengine labda ungefananisha na kujamba .Naona ni mluzi ila tones tofauti.
 
wanaume wengi wangeshitakiwa kwa contempt of court endapo,kesi inaendelea na akapita mwnamke anayetamanisha,isipokuwa kama jaji au hakimu ni mwanaume basi itabidi akauke tu
 
Yaani nimecheka sana...mbavu sina....hii thread kali....lakini...swali zuri sana... Sijui ingekuwaje. Ingekuwa ni dunia moja yenye kelele sana....za miluzi...lolol
 
swali la kivushi.....!


Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha!

Siamini kama ilikuchukuwa 1 minute kufikiria hili jambo. Unaonaje muda kama huo ulioutumia ungefikiria ni jinsi gani tungeweza kudhibiti ajali Tanzania au kusaidia watoto yatima........ni mawazo yangu tu ingawa najua hii ni sehemu ya kuburudisha/chekesha watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom