KWA WANAUME TU (no ladies plz)

Madada wenyewe wanavaa vibaya sana siku hizi, tungenyanyasika nasa jamani!!!!
 
halafu haya mambo ya kuambizana 'No Ladies' ndo kutamanishana makusudi ili tuingie, maana mtoto unapomwambia acha hiyo ndo kwanza umemtuma afanye.
 
halafu haya mambo ya kuambizana 'No Ladies' ndo kutamanishana makusudi ili tuingie, maana mtoto unapomwambia acha hiyo ndo kwanza umemtuma afanye.

Mummy long time eh mzima lakini?

Yaani huyu Silent whisper hata sijui alikuwa anawaza nini, nimecheka sana ijumaa nikaishia kutamani tu his wish to be granted lol!! Yaani iwe kweli ghafla tu kina kaka, shemeji tunasikia pheww, phweee!! lol sijui kama wangetoka majumbani mwao!
 
Duu, Silent !! you just make ma day !!! nimecheka ka sina akili nzuri, mpaka boss wangu kaniambia naweza kuwa kichaa soooon..... kwenye daladala ndio ingekua balaa maana konda angeshidwa asimamishe gari au laaa !!! kutoelewa ni mluzi upi haswa !!!!
 
Afadhali tu haipigi filimbi maana ingekuwa ni aibu kwa baadhi yetu. Maana wale ambao wakiona wowowo, vimini, chuchu saa sita na mengi kama hayo wanapata mshituko basi ingekuwa taabu. Mungu ni mkubwa ali consider udhaifu huo kwa wanaume.
 
Mummy long time eh mzima lakini?

Yaani huyu Silent whisper hata sijui alikuwa anawaza nini, nimecheka sana ijumaa nikaishia kutamani tu his wish to be granted lol!! Yaani iwe kweli ghafla tu kina kaka, shemeji tunasikia pheww, phweee!! lol sijui kama wangetoka majumbani mwao!
hahahaha mie ngeomba tuzisikie hata online maana tungekuwa tunazisikia za fide na akina kaizer kwa wingi hapa lol,
mie nimeiona leo hii thread nikawachekesha watu lunch time wamecheka mpaka basi , eti wanasema mabosi ndio wangeumbuka wa kwanza na hizi ofisi zilizowekwa partition za viooo tu miluzi ingekuwa inasikika kila wakati.bosi anaingia chini ya uvungu wa meza
 
hahaha kwanza agika umepotea jamvini,

pili kwangu naichukulia positive tungejua marijali kina nani na wasio marijali..manake kama haipigi mluzi inabidi mademu wakukimbie tu
 
imagine raisi wa nchi fulani yupo mbele ya ma microphone meengi anahutubia umma kwa tv, mara kakatiza mwandishi wa kike bomba, tunasikia phweee!!
...wajanja hao, wangevumbua chupi za sound proof
 
Kelele zingesaidia kujua anayehitaji kazi na hivyo wenye kazi kuweza kujipanga kutoa kazi kwa mhitaji.
 
Ishu ingekuwa tait pale pua zetu wanaume zingekuwa zinarefuka kwa kutokana na mimba uliyompa mwanamke. Akizaa inarudi normal
 
Nasikia mapadre mtihani wao wa mwisho huwa wanafungiwa kengele kisha msichana anajipitishapitisha ikilia umefeli upadre!
 
Akili isiyotumika inapoteza sharpness..
Mtizamo wako huo.
Siyo muda wote kuwaza tuu,lazima upumzishe akili,upate kicheko kidogo ili kuwa na fikra mpya.
Waloweka vipindi vya michezo shuleni hawakukosea,walijua watapasua vichwa vya watu.
 
Hapo uko nyumbani na mama mzazi halafu filimbi inaanza kufululiza, si ndio mwanzo wa laana?

Kumbe masikini pengine umekumbuka lile wowowo ulilokuwa umesongamana nalo kwenye foleni ya TANESCO kununua LUKU.
 
Kama kuna siku niliyowahicheka katika mwaka 2009............... ni hii. Huwa ninaikumbukaga sana hii thread
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom