Kwa wanaume tu njoo tutete

Kwa wanaume tu njoo tutete

Loooh! Mwanamke wapenda pesa weye. Uzuri ni kwamba humjui na sikuonyeshi ng'oooo,usije kumwomba hela bure. Tehe tehe

me namjua nitakutana nae tena na nikikutana nae unalo rafiki anaamisha majeshi kwangu
 
siku hizi mitandao imerahisisha mambo, tena jana tu tulikuwa tunajadili kuwa wanaume wa miaka ya nyuma walikuwa najua kutongoza, maana ilikuwa ni lazima ukutane na mtu na uanze kumwaga point ila siku hizi watu wanaanzia kwenye meseji kisha wakikutana wanapeana mzigo.
 
....teh teh teh teh...nilikutumia link hukuisoma? tatizo lako unagida sana hutaweza kuzijua tabia za Tai.

Ngoja nikaiangaliemo. Ndo ubaya wa kutumia kitochi cha Nokia.

Sasa nikishakuwa tai si naacha ugidaji. we nikubalie kwanza, acha longolongo.
 
hapana, sisi wanaume tupo busy sana na kazi. tukifika ofisini busy na computer zetu. tukipata chance tunaingia jf, tunaona michango ya warembo kama kina husninyo. ofisini wanawake wachache tena wana pete zao. hatuendi clubs, hatupandi daladala kusema tutaonana nao kwenye kugombania magari. mazingira yanatufanya tukose wa kuwatongoza mpaka midomo imekuwa mizito kwahiyo tukifika humu tunaishia kutuma namba tu. nia zetu ni njema hatutaki kuwachezea bali kuwaoa.
Haya mwanaume sijui ni kazi gani hiyo ambayo haukutani na wnwake ina maana hata kuabudu haupo kwamba unaweza kukutana nao? basi omba hata appointment na hapahapa mjengon au uko bize sana
 
Hili jambo naona Lina 2 sides, moja ni wanaume wasiojiamini au waliojikatia tamaa ktk swala la mahusiano aidha kutokana na kujeruhiwa kimapenzi au mfumo mbaya wa maisha walionao na kufikiri vibaya.

Pili kuna watu ambao mazingira yanayowazumguka au tuseme aina ya shughuli wanazozifanya vinasababisha washidwe kua katika nafasi nzuri ya kukutana na aina ya mwanamke wanayempenda hivyo wanajikuta wanajaribu kutumia mitandao kama nyenzo ya kuwasaidia.

Hayo ni mawazo yangu kuhusiana na mada husika.




告訴他們我想要
 
nina mengi ya kuchangia bt nasikitika coz sio mwanaume ngefunguka weeee
 
Habari wanajamvi letu pendwa natumaini muwazima wa afya njema kwa ambaye mambo hayako poa pole sana,turudi kwenye maada
-----------
Jamani wanaume wenzangu tuongee kiume,humu ndani kumetokea wimbi la wanaume kutafuta mchumba au mke..huwa najiuliza inakuaje hii inamaana mtaka kusema kutongoza linataka kuwa janga la kitaifa? wanawake hawa wa humu ndani ndo hao tunaopishana nao huko nje sasa unashindwa kumtongoza akiwa huko unategemea akukubalie humu ndani kweli?

Binafsi ninaamini unaweza kupata mke kupitia mtandao maana ndo hawa hawa tunaishi nao nachukulia mtandao kama sehemu ya mawasiliano sasa inakuaje mtu anaacha namba ya simu mwanaume mzima ukitegemea mwanamke atakupigia sijui aanze vipi kujieleza eti "samahani nimeikuta namba yako kwenye mtandao ukihitaji mke mimi niko tayari" mmh jamani hata changudoa hawezi kukupigia atajua huna hela maana ungekuwa na hela ungeenda kwenye ofisi zao upate huduma..

Jamani humu kuna ladies wengi status zao wako single kama umezimika na mmoja wapo kuna PM nenda kule kajieleze,mwanzoni nilijua ni namna ya kulitendea haki jukwaa lakini nikagundua wengine wanakuwa serious maana mtu anaweka bandiko hata mara tatu akihitaj mke,Najiuliza tu ukishindwa kumtongoza mwanamke hivi kweli utaweza kuomba papuchi kwa wale wenye misimamo na ukapewa kweli? Hata mwanamke anajisika raha anapotongozwa na anajiamini zaidi kwamba katika 100 umemfuata yeye anajiona anathamani,kwa mtazamo wangu tunajiabisha wenyewe..
Naomba tubadilike basi,ukienda love connect mwanamke akitangaza kuhitaji mchumba hata wakumpa moyo na kumfariji wanakuwa wengi kuliko kwa mwanaume jiulize ni kwa nini mpaka kuna memba mmoja akalalamika eti Wanawake mtufanyie fair,fair gani wakati mnaacha namba tu ambazo hata wanawke hawaweki hizo namba

Samahani nimeongea kwa kirefu mniwie radhi tu,Baba paroko Eiyer,Babu Asprin,njooni mje mtoe msaada huku

Mkuu naona kwa uhakika unawatetea DADA zetu, lakini unavyofikiri wewe yawezekana 25% hao wa dada hawako kiviile ufikiriavyo mbona wako wazi sana siku hizi ? akikupenda ana ku PM Yeye direct na wanazo mbinu zao walizojaliwa nazo wewe kwako utaona haiwezekani. . . . pana mabadiliko na maboresho siku hizi...
 
Mkuu naona kwa uhakika unawatetea DADA zetu, lakini unavyofikiri wewe yawezekana 25% hao wa dada hawako kiviile ufikiriavyo mbona wako wazi sana siku hizi ? akikupenda ana ku PM Yeye direct na wanazo mbinu zao walizojaliwa nazo wewe kwako utaona haiwezekani. . . . pana mabadiliko na maboresho siku hizi...
Utakuwa umenielewa vibaya hakuna sehemu niliyotetea mwanamke ninaongelea issue ya mwanaume kutafta mchumba au mke kwa kuacha namba ya simu wewe uanionaje kama mwanaume ndo point iko hapo!
 
Angekuwa anapatikana mke wa ukweli siyo tatzo lakini wewe mwenyewe ni shahidi yanapatikana majanga ndo maana tunajaribu kufikiri labda njia tunayotumia siyo sahihi

Nikweli kaka mjanga ni mengi kuliko wake wema. ila all in all tuendelee kuomba Mungu tu kaka
 
bure kabisa tena siku hizi kuna simu unatongoza asubuhi jioni unachapa,zamani utasubiri binti katoka kununua nazi aikune aende akatupe machicha ya nazi ndio umvae au sikilizeni kile kibao cha solemba ,siku hizi hakuna mambo hayo hao wana gundu au wana matatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom