Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
utaalamu wa kutongoza haukupi mke bora
Ila mke bora anapatikana mitandaoni?
utaalamu wa kutongoza haukupi mke bora
Hahahaaaa asante Babu hata hapa wamewekewa PM mnazungumza huko mnamalizana wenyewe kiutu uzima ya nini kutuwekea namba ya simu huo udomo zege umepitilizaMkuu Daudi1 ahsante kwa mwaliko.
Wavulana wa siku hizi kuna tatizo sehemu. Wamerahisishiwa mambo na teknolojia lakini inashangaza wanashindwa kuitumia ipasavyo.
Najaribu kutafakari enzi zetu tukitongoza kwa kupitia SLP na kama vipi kukatana mitama vichochoroni, hawa vijana si wangeishia kupiga punyeto?
Vijana wanapaswa kutoa uso wa aibu kwa wadada. Mwanamke ukimtokea kijasiri yeye ndo anakuwa na aibu. Na unapoonyesha ujasiri ndo mwanamke anapokukubali zaidi.
Vinginevyo hivi vibinti virembo vitaendelea kuangukia kwenye mikono yetu wakongwe kwa kuwa wavulana wameshindwa kazi.
Acheni kulialia mitandaoni wavulana, mabinti wanawacheka.
Ngoja nikazimue kwanza.
Umeongea vema sana mkuu asante kwa mchango wakoHili jambo naona Lina 2 sides, moja ni wanaume wasiojiamini au waliojikatia tamaa ktk swala la mahusiano aidha kutokana na kujeruhiwa kimapenzi au mfumo mbaya wa maisha walionao na kufikiri vibaya.
Pili kuna watu ambao mazingira yanayowazumguka au tuseme aina ya shughuli wanazozifanya vinasababisha washidwe kua katika nafasi nzuri ya kukutana na aina ya mwanamke wanayempenda hivyo wanajikuta wanajaribu kutumia mitandao kama nyenzo ya kuwasaidia.
Hayo ni mawazo yangu kuhusiana na mada husika.
Hilo nalo neno!!! Kuna jamaa alikuwa anatafuta mupenzi mda mrefu kweli hadi juzi kaanzisha siredi nyingine!
Mke wa ujana wangu ndo kusema ushanunua dildo? Leo sirudi nyumbani walah
hubby mie dildo la nini wakati everest wanipeleka?
Digital imewaharibu inafika hatua mwanamke amenuna unashindwa uanzie wapi kuongea naye,mwisho wa siku unakimbilia kuomba ushauri au kutafuta nyumba ndogo kumbe mwanamke anahitaji tention tu!Haka kautaratibu kameshika kasi kwakweli sijui tatizo linaanzia wapi.Hawa vijana hawana mbinu za manual kama zile za zamani.
Angekuwa anapatikana mke wa ukweli siyo tatzo lakini wewe mwenyewe ni shahidi yanapatikana majanga ndo maana tunajaribu kufikiri labda njia tunayotumia siyo sahihiMi nadhani chamuhimu ni kutimiza azma ya kumpata mtu. umpatie humu, fb, kanisani, msikitini, njiani, kwenye daladala, oficn, vyuoni n,k. chamsingi umshirikishe Mungu tu umpate mwenza anayefaa usije ukapata majangaaaaaaaaaaa!!
Ngoja tuwaalike waje watuambie maana mimi hata sielewe naniii we miss chagga njoo huku umpitie na DEMBA mje ni kwa mwaaliko maalumuBwana Daudi1 pamoja na hayo ni kuwasaidia watoke katika ujinga huo. Wasimame kama wanaume na kuchuakua majumu yao ya kiume kwani kutongoza ni jukumu la mwanaume.
Labda hawajui raha au fahari anayoipata mwanamke pindi anapoona mwanamme akishuka kwenye gari au akitembea kwa mguu kumfuata na kumwambia nakupenda.
Akina Dada watwambie hili, wanajisikiaje wanapotongozwa kwenye mitandao na pale wanapotongozwa live huku wakifanya tathimini ya mtu anayewatongoza.
Ouch: sory nimejikwaa tu
Jaribu kusema lolote