Kakole JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,094 Reaction score 1,751 Feb 10, 2016 #81 Thread nyingine bwana!!! tunachoshana tu.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Feb 10, 2016 #82 Kibarua kwanza. Kisha ndio mengine yatafuata. Mlimbwende atavumilia, ila itafika wakati atachoka. Wenyewe Warembo wana msemo wao "Love don't pay the bills" Sasa huyo Rafiki yako awe makini. Huo mwanzo, atakuja chokwa
Kibarua kwanza. Kisha ndio mengine yatafuata. Mlimbwende atavumilia, ila itafika wakati atachoka. Wenyewe Warembo wana msemo wao "Love don't pay the bills" Sasa huyo Rafiki yako awe makini. Huo mwanzo, atakuja chokwa
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,638 Reaction score 47,699 Feb 11, 2016 #83 Maelezo yako hayapo wazi sana mkuu. Twambie uhusiano wa msichana na jamaa kuachishwa kazi uko wapi. Isije kuwa ndio mnataka kumpiga kibuti huyo dada baada ya kupata kazi.
Maelezo yako hayapo wazi sana mkuu. Twambie uhusiano wa msichana na jamaa kuachishwa kazi uko wapi. Isije kuwa ndio mnataka kumpiga kibuti huyo dada baada ya kupata kazi.