Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

Nawewe kweli ukashindwa kumwambia aache ulevi?!!!!
 
"samahani mkuu, huyo mwanamke ana umri gani? ila ni hivi mapenzi hayashauriki ila kama kweli ana mpenda! basi ampende tu maradufu ila na mapenzi yote hayo wapo watakao mg**ga kwa buku"
 



Mwambie aje mwenyewe ww hujaeleweka
 
Aache upumbavu! Huyo mpenzi wa aina hiyo wanapatikana kwa nadra sana!!!....ajipe tuu muda wa kuamka hata kama ni saa kumi na moja awahi kazini.....na mapenzi yasonge....angekuwa karibu yangu ningemwasha kibao!!!

Swali la kizushi:
-umeona noma kusema ni wewe???[emoji12]
 
ha haahaha hahaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa hiyo kisa demu alichelewa kumuamsha ndiyo nataka waachane ? kwa hiyo akiachana na demu wake ataamka mapema? ila unaonekana nyie ni watoto bado aisee
Kama vibuti vyote vingekuwa dizaini hii sijui ingekuwaje poleni dada zangu mtuvumilie tu wengine uwezo wetu umeishia hapo
 
Too childish ivi mapenzi gani yakukufanya usikumbuke umuhimu wa kazi yako? Mwambie asubiri atakapofukuzwa kazi na kukimbiwa na mpenzi atuletee mrejesho
 
kuna kitu rafiki yako alisahau kukwambia....ebu mwambie akusimulie tena alafu urudi tena hapa
 
Cjaelewa uhusiano kati ya huyo msichana na hatar ya jamaa kufukuzwa kazi......au bosi wa jamaa nae ni dem na anatoka nae??? So anamtishia kumpga chini dem wake wa home kwa usalama wake??? Ufafanuz plz
 
nashindwa kulink issue ya kufukuzwa kazi mwanamke anahusika nn? au ndo kwakuwa hamuashi awahi?
 
Miaka 27 alafu jambo km hilo unaomba ushauri[emoji134]
Okey mwambie aache ulevi na uzinzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…