Kwa WanaUKAWA Jinsi ya Kuzuia Bao la Mkono Tusikubali Haya yatokee

Sheka

Senior Member
Oct 4, 2010
117
10
Wakuu Habari wanajamvi.
Naomba kuchukua wasaa huu kupeana mikakakati ya kuzuia bao la mkono,kwa maCCM yamezamiria kutupoka ushindi.


  1. Tuhakikishe kila kituo cha kupigia kura tuna weka mawakala ambao ni watiifu na waaminifu kwa CHADEMA/UKAWA
  2. Kila wakala ahakikishe kura za Udiwani,Ubunge na Urais zote zinahesabiwa kwenye kituo husika na kujazwa kwa fomu ya matokeo.
  3. kila wakala ahakikishe kinachoandikwa kwenye fomu ndicho kilicho hesaabiwa na kujazwa kwenye fomu ya matokeo
  4. kila wakala ahakikishe fomu zote zimesainiwa na pande zote zinazo husika kisha kubakiwa na nakala moja kwa ajili ya kumbukumbu za UKAWA
  5. Mawkala wasikubali masanduku ya kura kubebwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kabla ya kura kuhesabiwa hasa kwa kura za Urais.
  6. Tuhakikishi kunakukuwa na watu wetu walio makini kwenye kituo cha kujumlishia matokeo hasa ya Ubunge na Urais.

Mwisho itakuwa ni vema kwa kila kituo tukawa na awakala kwa idadi sawa na vyama vinavyounda

UKAWA katika kila kituo Nchi nzima
nihayo tu nawasilisha kwa michango zaidi ya kuboresha uzuiaji wa bao la mkono
 
Back
Top Bottom