Kwa wanaotumia TTCL Broadband | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaotumia TTCL Broadband

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, Dec 11, 2009.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  TTCL wana bundle yao mpya ya 256Kbps up/down unlimited broadband services, wanachaji shs 54,000/= kwa mwezi (VAT inclusive).

  Kwa ambao wameshaitumia, what is the experience so far? Speed ikoje, kuna tofauti katika performance peak na off-peak times? is connection stable?
   
 2. S

  SUYA Senior Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kuwa wazi ni wire less au cable!
   
 3. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hata mimi nataka kufahamu hili pia
  Mimi naulizia wireless na sio cable
  Tell us please
   
 4. tototundu

  tototundu Senior Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ninayozungumzia ni cable connection, ile ya line ya simu ya mezani/nyumbani. According to TTCL, @54,000 kwa mwezi, unapata 256Kbps SHARED.

  Swali la ziada: Mobile broadband ya TTCL nayo unaweza pata kwa 54,000 kwa mwezi?
   
 5. K

  Kabogo Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mm natumia TTCL BB ya cable wako cheap lakin wako slow sometime usipate connection for 2 hrs coz jamaa wamezidiwa na wateja si unajua wabongo tulivyo tunajua kuongeza customers kwa wingi lakin miondombinu ni ile ile.Pia wanachaji 1GB@30,000, 2GB@60,000 4GB@100,000 etc
   
 6. tototundu

  tototundu Senior Member

  #6
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ile connection ya kupata kwa GB i.e. 1GB, 2GB etc haina matatizo, ile speed yake ni 2MBps/1MBps download/upload, most of the time iko safi, unaweza hata kuangalia mechi nzima ya premier league LIVE bila connection kukatika.
  Shida ni kwenye hii ya 256 KBps, unlimited but shared, nani mwenye uzoefu nayo?
   
 7. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2009
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ya cable mzuka kweli. Naitumia. If anything i would stand witness kusema kwamba iko fast kuliko internet connection yoyote hapa TZ. Inayoisigelea ni ya Selcom.
  Bandwith ya TTCL ni kubwa kwaiyo hata downloadin iko fast. bahati mbaya wanaiua TTCL watawala wetu
   
 8. tototundu

  tototundu Senior Member

  #8
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Very true. TTCL broadband (2Mbps) iko juu kuliko ISP wote hapa bongo, draw ya worldcup niliangalia live online bila zengwe, na most of the time naangalia BBC World Service online nikiwa napata chai ya jioni. Ila iko expensive kiasi, kwa mwezi huwa natumia ya 10GB/200,000 Tshs.
  Sasa nataka kuhamia ile ya 256 Kbps. Nataka kujua reliability.
   
Loading...