kwa wanaotarajia kujiunga na mucc0bs.

BlackZero

New Member
Jun 28, 2012
1
0
kwa wale wanaohitaji hostel,kwani ni chache sana.kuna nafasi katika hostel iliyopo nje ya chuo malipo ni 180000 kwa semister. and its the best kwani ina kila kitu, umeme ,maji, star times connected tv, mazingira mazuri na vyumba vikubwa.ni Hostel pekee ya ghorofa yenye mchanganyko wa gender.wa wasichana wanakaa juu, na wavulana chini. Umbali wa kutembea kwa miguu mpaka chuoni. Kwa maelezo zaid. ma contact ni. 0712898979; 0757898123
 
Poaw bt chumbani mnakaa wangapi?,umbali gani mpaka chuo?,Je inatambulika na chuo? Inaitwaje? Ni mpya au ni yakitambo? Naomba unijibu coz next week niko muccobs,by theway ntakutafuta if possible.
 
Back
Top Bottom