Kwa wanaotafuta wachumba kwenye mitandao.

Kwa wanaotafuta wachumba kwenye mitandao.

OK ,poa usiku mwema ulale usingizi mnono, uote ndoto tamutamu, na kesho ukienda church niombee na mimi na mimi nitakuombea uonyeshwe kwamba ni mimi, echeki no yangu nimekupm
nitaona kama nitaonyeshwa ndotoni leo
 
siyo tu la gauni piga hesabu za gharama zote mpaka za fungate.kesho ulete bill ya kutosha vyote. mkiitaj na collabo uko fungate niko tayari kuwapa kampan
sawa papaaa ngoja nitafute ma profoma mjini hapa
 
nimemdhibiti katulia
nimeamua tu kukuachia maana unavolia daah na mimi weakness yangu kubwa ni chozi la mwanamke...nakuwa sina jinsi...ila utaniachia achia kidogo sio unabana bana hadi penalty...kizuri kula na mwenzio..sharing is caring ok mamii?
 
maskini ya mungu yaani sound za Smile zimekuchanganya na si ww tu zinachanganya wengi mi mume wangu kidogo aamie kwake ila nimelizibiti ukifanikiwa ntafurahi ili aache kuja kwa kiwatengu
du inamaana ni sound tu na swaggery ? sidhani, mi nimemfeel kiukweli sana, nashukuru kwa kuniombea mema nifanikiwe,
 
nimeamua tu kukuachia maana unavolia daah na mimi weakness yangu kubwa ni chozi la mwanamke...nakuwa sina jinsi...ila utaniachia achia kidogo sio unabana bana hadi penalty...kizuri kula na mwenzio..sharing is caring ok mamii?

hala hala jamani
 
achana na wapambe utasikia mengi[/QUO

siwapi nafasi kabisa yaani tumeanza kuchati tu,wanataka kutuharibia, kweli wahenga walisema wapambe nuksi.
Sawa Mamaa usiku mwema ulale salama usingizi mororo wenye ndoto tamu.

Copy:shansarie
 
Habari!

Nimekuwa najiuliza kwa nini vijana wengi sana wa kiume sasa hivi wanajikita kutafuta wapenzi/wachumba mitandaoni?

Je hakuna wanawake huku mtaani tunakoishi? Tunaogopa kuwatongoza? Tunawaona hawafai ila hawa mitandaoni ni wazuri? Tunakosa muda wa kutongoza?

Nanyi wadada kwanini hamjitokezi kwa wingi wakati nyie ndo mnatuendea kwa waganga wa kienyeji ili muolewe? Hadi vijana tuhangaike kwa nini msijitokeze kwa wingi ili tujichagulie? Au ndo mila zetu tutawaona mnajitongozesha? Mh!

Kila la heri, maswali yangu yana majibu na ninayo. Ha! ha! ha! ha! ha! Wamechukiaaaaa! Wanataka kunimeza.
Naweza kukupa sababu kuu mbili
(1) vijana wengi hawana kazi, wanajua kuchati siku nzima, hata kuzunguka zunguka kupata fresh air hawataki (2) Wadada wa kwenye mtandao ni waruzi zaidi, kwanza kimo chao kimoja, sura moja, maumbo yanafanana, halafu hawanuki jasho kama wale wa kule mitaani. nadhani umenielewa...!!
 
Back
Top Bottom