Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
huna lolote mpesa hadi ikwiriri iposubiri nirudi mama apa nilipo hakuna hizo huduma
huna lolote mpesa hadi ikwiriri iposubiri nirudi mama apa nilipo hakuna hizo huduma
watu wametafutiwa wachumba na ukoo mzima....ila wakashindwana...wengine kanisani...nako chali...wengine wazazi ..nao hoi....hakuna formula aisee^^
umeona ee!!
Hakuna principle lolote laweza tokea wakati wowote.
Love is as powerful as death
^^
watu wametafutiwa wachumba na ukoo mzima....ila wakashindwana...wengine kanisani...nako chali...wengine wazazi ..nao hoi....hakuna formula aisee
thax mkuu ...issue sio mlikutana wapi...je ninyi ni watu wa tabia gani?^^
Pokea like
Am on Jf mobile
^^
thax mkuu ...issue sio mlikutana wapi...je ninyi ni watu wa tabia gani?
umeona eeh nani anaenda kisimani siku hizi mabomba hadi mvunguni?mi naona tu kambi popote^^
Zaidi mna click? Ujue kila zama na namna yao ya mawasiliano.
Mapenzi ya kukutana visimani au kuviziana madirishani usiku,,
imepitwa na wakati
digital at work
^^
huna lolote mpesa hadi ikwiriri ipo
aya bwanasipo tanzania sasa hivi. nilipo labda kwa money gram au western union
hapana si kabila ilo ila nimekaa nao sana washington dc.najua kidogo salamu
aisee smile huwa naonaga threads zako kusema kweli zinanivutia , na pia nahisi we ni mtu mwema sana, unaonaje tuyapange vizuri?Naamka saa kumi na mbili naingia ofsini natoka saa moja narudi home saa mbili
mimi sio mtu wa kujirusha wkend nipo job saloon na vishoping kidogo
sina interaction na mtaani kiivo...ila nipo kwenye mtandao muda mwingi....so nikipata mtu huku siono ajabu maana ndo mtaani kwangu
hi hi hiii zali la mentali ...umeona eeeh....si bora nipo hapa kuliko ningekuwa disco au bar etiaisee smile huwa naonaga threads zako kusema kweli zinanivutia , na pia nahisi we ni mtu mwema sana, unaonaje tuyapange vizuri?
yaani kabisa, ngoja niku pm no yamngu tuwasiliane zaidi, yaani kama mimi weekend nyingine sitoki natulia zangu home kwenye net ghafla saa 6 hiyo ndio nalala.hi hi hiii zali la mentali ...umeona eeeh....si bora nipo hapa kuliko ningekuwa disco au bar eti
ahahaaaa ngoja nilale bwana kesho nikasali nione kama nitaonyeshwayaani kabisa, ngoja niku pm no yamngu tuwasiliane zaidi, yaani kama mimi weekend nyingine sitoki natulia zangu home kwenye net ghafla saa 6 hiyo ndio nalala.
ahahaaaa ngoja nilale bwana kesho nikasali nione kama nitaonyeshwa
ahahaaaa ngoja nilale bwana kesho nikasali nione kama nitaonyeshwa
hahaaa main sponsor ni wewe sio....ngoja nikajipime gauni la harusi kesho nilete billmkimalizana mnishtue nifazili ndoa hiyo.
aisee smile huwa naonaga threads zako kusema kweli zinanivutia , na pia nahisi we ni mtu mwema sana, unaonaje tuyapange vizuri?
hahaaa main sponsor ni wewe sio....ngoja nikajipime gauni la harusi kesho nilete bill
OK ,poa usiku mwema ulale usingizi mnono, uote ndoto tamutamu, na kesho ukienda church niombee na mimi na mimi nitakuombea uonyeshwe kwamba ni mimi, echeki no yangu nimekupmahahaaaa ngoja nilale bwana kesho nikasali nione kama nitaonyeshwa