Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 354
Habari!
Nimekuwa najiuliza kwa nini vijana wengi sana wa kiume sasa hivi wanajikita kutafuta wapenzi/wachumba mitandaoni?
Je hakuna wanawake huku mtaani tunakoishi? Tunaogopa kuwatongoza? Tunawaona hawafai ila hawa mitandaoni ni wazuri? Tunakosa muda wa kutongoza?
Nanyi wadada kwanini hamjitokezi kwa wingi wakati nyie ndo mnatuendea kwa waganga wa kienyeji ili muolewe? Hadi vijana tuhangaike kwa nini msijitokeze kwa wingi ili tujichagulie? Au ndo mila zetu tutawaona mnajitongozesha? Mh!
Kila la heri, maswali yangu yana majibu na ninayo. Ha! ha! ha! ha! ha! Wamechukiaaaaa! Wanataka kunimeza.