Kwa wanaosumbuliwa na msongo wa mawazo (sonona) vitamin B complex ni 'dawa' yenye msaada mkubwa sana

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Kwa wale wenye ugonjwa wa Depression au msongo wa mawazo. Supplements za Vitamin B complex ni vidonge vyenye msaada mkubwa sana.

Vitamin B complex ni mchanganyiko wa Vitamins kama nane hivi, na sifa ya Vitamin B ni kusaidia uzalishwaji wa seli mpya mwilini.

Wengi wenye tatizo la sonona wana kuwa na upungufu wa baadhi ya kemikali kwenye brains na zile cell zinazosababisha mzunguko wa umeme kwenye mwili wa binadamu hasa sehemu ya ubongo.

Kwa hiyo matumizi ya Vitamin B complex husaidia kwa kiwango kikubwa kutengenezwa kwa seli mpya zinazopungua kwenye ubongo na hivyo kufanya mtu mwenye msongo wa mawazo (sonona) kupata nafuu kubwa.

Wale wote wenye ndugu au jamaa wanaosumbuliwa na msongo wa mawazo (sonona) washaurini watumie vidonge vya vitamin B complex.

Hivi ni over the counter pills. Havihitaji kuwa na cheti cha daktari kwa hiyo ni supplements ambazo mtu anaweza akazitumia.
 
Kwanini usiwqshauri wale matango yenye vitamin B ya kutosha kuliko hizo? anyway..
Good question. Watu wengi wenye upungufu wa vitamin wanakuwa hawana uwezo wa ku absorb fat from their small intenstines. Kumbuka kuwa vitamins doesn't go through a digestion process. Its either fat soluble or water soluble. So hawa watu hata wakila matunda yenye vitamins kwa wingi kiasi gani, their bodies are not capable of absorbing vitamins, and that is where their problem begins...
 
Good question. Watu wengi wenye upungufu wa vitamin wanakuwa hawana uwezo wa ku absorb fat from their small intenstines. Kumbuka kuwa vitamins doesn't go through a digestion process. Its either fat soluble or water soluble. So hawa watu hata wakila matunda yenye vitamins kwa wingi kiasi gani, their bodies are not capable of absorbing fat, and that is where their problem begins...
Thank u!
 
Good question. Watu wengi wenye upungufu wa vitamin wanakuwa hawana uwezo wa ku absorb fat from their small intenstines. Kumbuka kuwa vitamins doesn't go through a digestion process. Its either fat soluble or water soluble. So hawa watu hata wakila matunda yenye vitamins kwa wingi kiasi gani, their bodies are not capable of absorbing vitamins, and that is where their problem begins...
Mtu mwenye shida ya kuabsorb fat from intestines anawezaje kutatua hilo tatizo mkuu au ndio haiwezekani kabisa
 
Nichumu Nibebike, Je, mimi naweza tumia pia nina hali ya kukata tamaa ya kusoma chuo nina mawazo meng kias kwamba nimebaki dilema najilazimisha tu kusoma kwa sababu ya kuokoa maisha yangu baada ya kuzunguk kwa wagang imeonekan nimefanyiw mchez tu nipo shule nikipingan na hii nafs lakin inaniumiza mda wote inanip mawaz je nikitumia zitanisaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mimi naweza tumia pia nina hali ya kukata tamaa ya kusoma chuo nina mawazo meng kias kwamba nimebaki dilema najilazimisha tu kusoma kwasababu ya kuokoa maisha yangu baada ya kuzunguk kwa wagang imeonekan nimefanyiw mchez tu nipo shule nikipingan na hii nafs lakin inaniumiza mda wote inanip mawaz je nikitumia zitanisaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwishon walikosa jibu kutokana na tatizo lako kuwa LA kiimani zaidiii but nawezaa kushauri salii sana na tumia dawaa hiloo ..Never give up before you turn up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nichumu Nibebike, Je, mimi naweza tumia pia nina hali ya kukata tamaa ya kusoma chuo nina mawazo meng kias kwamba nimebaki dilema najilazimisha tu kusoma kwa sababu ya kuokoa maisha yangu baada ya kuzunguk kwa wagang imeonekan nimefanyiw mchez tu nipo shule nikipingan na hii nafs lakin inaniumiza mda wote inanip mawaz je nikitumia zitanisaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu yangu
Mwishon walikosa jibu kutokana na tatizo lako kuwa LA kiimani zaidiii but nawezaa kushauri salii sana na tumia dawaa hiloo ..Never give up before you turn up

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu yangu
 
Msongo wa mawazo unatibiwa kwa vyakula na dawa au kwa kuondoa kinachompa muhusika hayo mawazo?

Sent using Samsung J1
Sonona (msongo wa mawazo): ni hali ya kufikiri kupita kias bila kupata jibu na kuamini kutopata jibu hali ukihitaji kujua muafaka wako haraka sana ,huku muda unaenda.Mpk inafikia hatua unaishi bila kujua sababu ya kuishi,unakula bila kuona hamu ya kula,unafanya kaz bila kuona umuhimu(unahis kama unajitesa tu) na ikiendelea inakufanya usiamue uamuzi wenye weredi na hekima kwa mustakabari wa maisha yako na wanaokutegemea baadae....

Ila ktk swala LA kula ili akili iwe active ktk kupata upembuz wa njia mbadala ili maisha yaendelee,ndio hapo VITAMIN COMPLEX vinahusika mkuuu.....

NB: SONONA unajitibu mwenyewe ila unachosaidiwa ni kujitambua kisaikojia....na dawa kidogo (wataalam wanajua wenyewe)
 
Nimekupata.
 
Back
Top Bottom