Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Kwa wale wenye ugonjwa wa Depression au msongo wa mawazo. Supplements za Vitamin B complex ni vidonge vyenye msaada mkubwa sana.
Vitamin B complex ni mchanganyiko wa Vitamins kama nane hivi, na sifa ya Vitamin B ni kusaidia uzalishwaji wa seli mpya mwilini.
Wengi wenye tatizo la sonona wana kuwa na upungufu wa baadhi ya kemikali kwenye brains na zile cell zinazosababisha mzunguko wa umeme kwenye mwili wa binadamu hasa sehemu ya ubongo.
Kwa hiyo matumizi ya Vitamin B complex husaidia kwa kiwango kikubwa kutengenezwa kwa seli mpya zinazopungua kwenye ubongo na hivyo kufanya mtu mwenye msongo wa mawazo (sonona) kupata nafuu kubwa.
Wale wote wenye ndugu au jamaa wanaosumbuliwa na msongo wa mawazo (sonona) washaurini watumie vidonge vya vitamin B complex.
Hivi ni over the counter pills. Havihitaji kuwa na cheti cha daktari kwa hiyo ni supplements ambazo mtu anaweza akazitumia.