Kwa wanaopenda wanawake wa kizungu

Kwa wanaopenda wanawake wa kizungu

Inawezekana ikawa stori ya kweli. Ila nin wasiwasi na msimuliaji inawezakana ndiyo muathirika wa kugongwa kabaaaaaaang...uajua stori kama hii ni ngumu sana kumsimulia mtu....kwa hiyo jamaaa walikula tena kavukavu..hahahahahahahahahahahaaaaa

Refer kwa mchangiaji namba mbili Watu8 alichoandika then utajua mkuu
 
Last edited by a moderator:
Jamaa mzembe sn,gharama zote hzo cjui electronic ticket ya ndege go &return,usumbufu wote huo mpaka germany tena utakuta na kazi aliacha KAENDA KULIWA TIGO!ANGETOA HAPA HAPA TU NA GHARAMA ZOTE HZO WANGEMUEKEA KWENYE ACCOUNT.
 
Habari zenu ndugu wana MMU,

Binafsi niko pouwa kabisa.Ngoja niende direct kwenye lengo.Ingawa story ni ndefu ila nitajitahidi kuifupisha

Ni muda kidogo tangu jamaa yangu mmoja aliponisimulia huu mkasa uliompata mshkaji flan hivi.Story inaanza hivi,kuna jamaa alikuwa ni tour guide pande za kaskazini mwa Tanzania,kazi ambayo aliifanya kwa muda mrefu sana.Ila kuna siku moja alipata mtalii ambae alikuwa anatokea hizi nchi za ulaya.Mtalii huyo alikuwa ni wakiume.Basi yule jamaa tour guide kama part ya kazi yake akawa anazunguka na jamaa sehem mbali mbali za kitalii,ikiwa ni mbugani na mlimani.

Kwavile huyo mbongo (tour guide) alikuwa ni mstaarab na mcheshi basi yule mtalii akawa hataki kukaa mbali na jamaa ili asije akachukuliwa na watalii wengine,hivyo akaamua kumchukulia chumba katika hoteli aliyofikia.Shughuli za kitalii zikaendelea.Kuna siku wakiwa wamepumzika kwenye mgahawa wa hiyo hoteli mida ya jioni kama ambavyo ilikuwa kawaida hayo kila siku,sema kwa vile huyo Mbongo hakuwa mnywaji sana akaaga kuwa anaenda kupumzika, basi na mgeni (yule mtalii).

Na yeye akaenda kupumzika kwavile hiyo siku walizunguka sana.Wakiwa vyumbani (walikuwa wanalala separate rooms) ndipo yule mtalii akampigia simu tour guide na kumuomba aende room kwake kunaishu anataka wazungumze.Jamaa alipofika room wakapiga story mbili tatu,ndipo yule mtalii akamwabia jamaa kuwa kawaida ashazoea wakijaga kutalii kama hivi basi tour guide anakuwa na jukumu la kuwataftia wanawake wa kuspend nao,ila anashangaa yeye anakarbia wiki ila hakuna dalili za kupatiwa demu.

Tour guide akamwambia ilo mbona tatizo dogo tu,akasema anazo namba za madem wengi tu wazuri kesho atampigia mmoja aje (maanamuda huo ilishakuwa usiku sana).Yule mtalii akasisitiza kuwa alikuwa amebanwa ucku huo na hawezi kuupitisha bila kugonga.

Jamaa akajitahidi kumuelezea lakini mtalii hakuelewa,ikafkia kipindi yule mtalii akamuomba mchezo yule jamaa walau apige kwa ucku huo.Jamaa alivyokataa wakapiga sana humo room mwishoye akapata upenyo akaondoka yule tour guide.Kulivyokucha yule mtalii akaomba sana msamaha akisema zilikuwa pombe tu.Yakaisha wakaendelea na mishe hadi mtalii alipoondoka.

Ikapita kama miaka 2 hivi yule tour guide akiendelea na kazi yake.Kuna mwaka akapokea mwanamke wa kizungu ambapo baada ya kufanya nae kazi kwa muda,yule mama akafall kwa mshikaji then wakaanza mapenzi.Jamaa ikawa kila siku baada ya mizunguko usiku jamaa anajilia vyake.Yule mwanamke alipomaliza muda wake akamuachia jamaa kiasi kingi tu cha hela na ahadi kuwa anaenda kumfanyia mpango nchini kwao then jamaa aende maana alikuwa kampenda kweli.

Kweli baada ya kupita miezi kadhaa wakiwa wanawasiliana kwa njia ya mtandao,yule mwanamke akamtumia mshkaji invitation letter pamoja na electronic ticket ya ndege.Jamaa akafanya mipango mingine then akasepa kuelkea Germany ( ndipo alipokuwa anakaa yule mwanamke).Jamaa alipofika kule airport akakuta waliotumwa kumpokea wanamsubiri,then aliongea na yule demu wake kwa simu kisha safari ya kwenda alipo ikaanza.

Wakapanda tren ya umeme ambayo baada ya kusafiri kwa muda mrefu kidogo,ikafika walipokuwa wanaenda.Wakafikia kwenye jumba kubwa tu.Jamaa akakaribishwa vizuri tu,alafu wale waliompokea wakaondoka.Hiyo siku ikapita bila ya mawasiliano tena na yule mwanamke wake wa kizungu.

Kesho yake asubuhi wakaja jamaa wawili,mmoja wapo ndio yule mtalii wa kipindi kilee (waliyepigana nae room wakati alipotaka kumlawiti tour guide).Jamaa mbongo akastuka sana alivyomuona.Yule mtalii akamwambia naona ulikataa kunipea kwenu ila umekuja kunipea huku.

Yule tour guide akajianda kupambana nao lakini walikuwa na bastola ndogo, alafu yule mtu wapili alikuwa ni mbavu nene.Pia akajaribu kupiga kelele lakini jumba wanalokaa linaeneo kubwa so kelele zake zikaishia tu mle mle ndani.Tour guide akaliwa tigo siku hiyo.Akaliwa tena kesho na baada ya siku mbili.Then kuna siku ndio walipokuja tena wakamrudishia passport yake (maana waliichukua) pia wakampa na ticket wakampeleka airport ndio akarudi maskani.

Na katika kipindi chote wakati yupo huko hakuwahi kuongea tena na yule mwanamke wa kizungu wala kuwasiliana nae kwa njia yoyote ile zaidi ya ile siku ambayo alifika for the first time airport.It means inaonekana ni kama mchezo alikuwa amechezewa ili aje kukutana na yule mzungu wa kiume.Nimejaribu kuiandika kwa ufupi ingawa ilikuwa na maelezo mengi sana.Na lengo langu ilikuwa ni kuwahisia wale wanaopenda mteremko.Kupenda wanawake wa kizungu ili ukaishi Ulaya au uishi maisha mepesi sio deal sana

kijana komaa utoke mwenyewe.

Na katika methali za kibwege kuliko zote kuwahi kutokea ni "Samaki mmoja akioza..."
Kuhusu maisha mepesi, tuache unafiki..hakuna mwanamme anayeweza kuchagua kubeba zege wakati kuna option ya kukaa ofisini na kusign cheque..

Kuna tofauti kubwa kati ya kustrive kwenda ulaya ili ukafanye kazi na kwenda ulaya kulelewa... na tukubali ukweli kuwa ukifanya kazi ulaya au kama una kipaji fulani ulaya basi chances za kutoka ni kubwa kuliko huku kwa mafisadi..mkuu wa kaya mwenyewe daily misele majuu itakuwa weye unayeunga unga msosi?
 
Rasta na Bange are inseparable.

Mkuu, sio kila mfuga nywele waweza kumuita rasta..utakuwa unadhalilisha maana nzima ya urasta.."Rastafarianism" ni njia ya maisha ambayo inahusisha imani na itikadi...Chimbuko la neno rasta ni "Ras Tafari" ambalo ni jina jingine la Haile Sellasie" ambaye jamii ya marasta inaamini ndiye aliyetajwa katika verse za Biblia kuwa.."na kati yenu nitamuinua mtawala"

BANGI ukiachilia mbali mambo ya kiafya..kwa marasta ni mojawapo ya vitu ambavyo vinasaidia katika meditation..humfanya mtu atulize akili na kuikusanya sehemu moja na kumuwezesha kufikiria kwa kina kuhusu maisha na uhusiano wake na muumba..kama ni mbaya au nzuri ni jambo la mtazamo..ila kwa kukusaidia kufikiri nikuulize jambo moja..."inakuwaje watu wawili wanavuta bangi moja then mmoja anaenda kuchokoza na kupigana bila sababu na mwingine anachokozwa na kupigwa still anakimbia na kujifanya -----?"

Angalizo: matumizi mabaya ya kitu kizuri hayafanyi kitu kizuri kuwa kibaya.
 
Na katika methali za kibwege kuliko zote kuwahi kutokea ni "Samaki mmoja akioza..."
Kuhusu maisha mepesi, tuache unafiki..hakuna mwanamme anayeweza kuchagua kubeba zege wakati kuna option ya kukaa ofisini na kusign cheque..

Kuna tofauti kubwa kati ya kustrive kwenda ulaya ili ukafanye kazi na kwenda ulaya kulelewa... na tukubali ukweli kuwa ukifanya kazi ulaya au kama una kipaji fulani ulaya basi chances za kutoka ni kubwa kuliko huku kwa mafisadi..mkuu wa kaya mwenyewe daily misele majuu itakuwa weye unayeunga unga msosi?

Inashangaza sana! Huko ulaya ikiwemo Germany wamejaa wangese kibao weupe kwa weusi! Sasa iweje hao waende Africa wamlaghai jamaa,wamsafirishe hadi ujerumani halafu WAMBAKE!!! Kweli?! That dude must have a very special TIGO!! Unabakwa na unaenda kwenu kusimulia tu redioni just like that!
 
Ningekuwa mimi kwa huyo mzungu ningemkatia mauno mpaka nipate URAIA wa UJERUMANI, maana huku bongo nishachoka na jua la huku. Maana kama ni TIGO mbona weng wanaTIGWA bila hata kupewa hela (BURE)?kama kuna mtu ana mawasiliano nae anitumie 0655517357
 
Umeona mkuu? Hii ishu iko na mashaka kidogo..kwamba jamaa alikuwa na kitu gani exceptional mpaka wamgharamikie kihivyo ili mradi tu wampeleke huko kumla 0717..?

Na jamaa anasema mwanamke alimpa mambo mara kibao tuu ili mradi kufanikisha lengo...! kweli mwanamke tena wa kizungu anaweza akawa tayari kuto.m..b..w..a na jamaa mara kibao tu ili mradi amfanyie mpango kakake kula kidoti?
 
Ningekuwa mimi kwa huyo mzungu ningemkatia mauno mpaka nipate URAIA wa UJERUMANI, maana huku bongo nishachoka na jua la huku. Maana kama ni TIGO mbona weng wanaTIGWA bila hata kupewa hela (BURE)?kama kuna mtu ana mawasiliano nae anitumie 0655517357

Mkuu nimekupm, huna haja ya kwenda ulaya, hapahapa bongo nitakufanyia wepesi katika maisha yako
 
Hahahahaa naona umeamua kumsaidia hacpoteze muda kwenda mbali
 
Ningekuwa mimi kwa huyo mzungu ningemkatia mauno mpaka nipate URAIA wa UJERUMANI, maana huku bongo nishachoka na jua la huku. Maana kama ni TIGO mbona weng wanaTIGWA bila hata kupewa hela (BURE)?kama kuna mtu ana mawasiliano nae anitumie 0655517357

Mkuu unatangaza biashara au??
 
Inashangaza sana! Huko ulaya ikiwemo Germany wamejaa wangese kibao weupe kwa weusi! Sasa iweje hao waende Africa wamlaghai jamaa,wamsafirishe hadi ujerumani halafu WAMBAKE!!! Kweli?! That dude must have a very special TIGO!! Unabakwa na unaenda kwenu kusimulia tu redioni just like that!

Nackia redion alienda kuomba msaada kwa raia
 
Na katika methali za kibwege kuliko zote kuwahi kutokea ni "Samaki mmoja akioza..."
Kuhusu maisha mepesi, tuache unafiki..hakuna mwanamme anayeweza kuchagua kubeba zege wakati kuna option ya kukaa ofisini na kusign cheque..

Kuna tofauti kubwa kati ya kustrive kwenda ulaya ili ukafanye kazi na kwenda ulaya kulelewa... na tukubali ukweli kuwa ukifanya kazi ulaya au kama una kipaji fulani ulaya basi chances za kutoka ni kubwa kuliko huku kwa mafisadi..mkuu wa kaya mwenyewe daily misele majuu itakuwa weye unayeunga unga msosi?

Hicho ndiyo kitu nachokisema humu, kwamba kuna watu wanajiona ni perfect kabisa. Sasa kweli kiuhalisia ni nani hasa ataacha njia rahisi ya kufanikiwa kimaisha na kwenda kutafuta njia ngumu?
 
Astaghafillulah!!!

Ningekuwa mimi kwa huyo mzungu ningemkatia mauno mpaka nipate URAIA wa UJERUMANI, maana huku bongo nishachoka na jua la huku. Maana kama ni TIGO mbona weng wanaTIGWA bila hata kupewa hela (BURE)?kama kuna mtu ana mawasiliano nae anitumie 0655517357
 
Nackia redion alienda kuomba msaada kwa raia

Sitaki kusema hio stories ni uongo,ila msaada angeanza kuomba kwenye ubalozi wetu ujrrumani! Issue ya kubakwa ulaya ni very serious hawawezi wakaiacha hata Kama wewe ni foreigner! Umeona au kusikia rich footballers wanavyopata tabu na kuwa accused tu kubaka?!
 
Habari zenu ndugu wana MMU,

Binafsi niko pouwa kabisa.Ngoja niende direct kwenye lengo.Ingawa story ni ndefu ila nitajitahidi kuifupisha

Ni muda kidogo tangu jamaa yangu mmoja aliponisimulia huu mkasa uliompata mshkaji flan hivi.Story inaanza hivi,kuna jamaa alikuwa ni tour guide pande za kaskazini mwa Tanzania,kazi ambayo aliifanya kwa muda mrefu sana.Ila kuna siku moja alipata mtalii ambae alikuwa anatokea hizi nchi za ulaya.Mtalii huyo alikuwa ni wakiume.Basi yule jamaa tour guide kama part ya kazi yake akawa anazunguka na jamaa sehem mbali mbali za kitalii,ikiwa ni mbugani na mlimani.

Kwavile huyo mbongo (tour guide) alikuwa ni mstaarab na mcheshi basi yule mtalii akawa hataki kukaa mbali na jamaa ili asije akachukuliwa na watalii wengine,hivyo akaamua kumchukulia chumba katika hoteli aliyofikia.Shughuli za kitalii zikaendelea.Kuna siku wakiwa wamepumzika kwenye mgahawa wa hiyo hoteli mida ya jioni kama ambavyo ilikuwa kawaida hayo kila siku,sema kwa vile huyo Mbongo hakuwa mnywaji sana akaaga kuwa anaenda kupumzika, basi na mgeni (yule mtalii).

Na yeye akaenda kupumzika kwavile hiyo siku walizunguka sana.Wakiwa vyumbani (walikuwa wanalala separate rooms) ndipo yule mtalii akampigia simu tour guide na kumuomba aende room kwake kunaishu anataka wazungumze.Jamaa alipofika room wakapiga story mbili tatu,ndipo yule mtalii akamwabia jamaa kuwa kawaida ashazoea wakijaga kutalii kama hivi basi tour guide anakuwa na jukumu la kuwataftia wanawake wa kuspend nao,ila anashangaa yeye anakarbia wiki ila hakuna dalili za kupatiwa demu.

Tour guide akamwambia ilo mbona tatizo dogo tu,akasema anazo namba za madem wengi tu wazuri kesho atampigia mmoja aje (maanamuda huo ilishakuwa usiku sana).Yule mtalii akasisitiza kuwa alikuwa amebanwa ucku huo na hawezi kuupitisha bila kugonga.

Jamaa akajitahidi kumuelezea lakini mtalii hakuelewa,ikafkia kipindi yule mtalii akamuomba mchezo yule jamaa walau apige kwa ucku huo.Jamaa alivyokataa wakapiga sana humo room mwishoye akapata upenyo akaondoka yule tour guide.Kulivyokucha yule mtalii akaomba sana msamaha akisema zilikuwa pombe tu.Yakaisha wakaendelea na mishe hadi mtalii alipoondoka.

Ikapita kama miaka 2 hivi yule tour guide akiendelea na kazi yake.Kuna mwaka akapokea mwanamke wa kizungu ambapo baada ya kufanya nae kazi kwa muda,yule mama akafall kwa mshikaji then wakaanza mapenzi.Jamaa ikawa kila siku baada ya mizunguko usiku jamaa anajilia vyake.Yule mwanamke alipomaliza muda wake akamuachia jamaa kiasi kingi tu cha hela na ahadi kuwa anaenda kumfanyia mpango nchini kwao then jamaa aende maana alikuwa kampenda kweli.

Kweli baada ya kupita miezi kadhaa wakiwa wanawasiliana kwa njia ya mtandao,yule mwanamke akamtumia mshkaji invitation letter pamoja na electronic ticket ya ndege.Jamaa akafanya mipango mingine then akasepa kuelkea Germany ( ndipo alipokuwa anakaa yule mwanamke).Jamaa alipofika kule airport akakuta waliotumwa kumpokea wanamsubiri,then aliongea na yule demu wake kwa simu kisha safari ya kwenda alipo ikaanza.

Wakapanda tren ya umeme ambayo baada ya kusafiri kwa muda mrefu kidogo,ikafika walipokuwa wanaenda.Wakafikia kwenye jumba kubwa tu.Jamaa akakaribishwa vizuri tu,alafu wale waliompokea wakaondoka.Hiyo siku ikapita bila ya mawasiliano tena na yule mwanamke wake wa kizungu.

Kesho yake asubuhi wakaja jamaa wawili,mmoja wapo ndio yule mtalii wa kipindi kilee (waliyepigana nae room wakati alipotaka kumlawiti tour guide).Jamaa mbongo akastuka sana alivyomuona.Yule mtalii akamwambia naona ulikataa kunipea kwenu ila umekuja kunipea huku.

Yule tour guide akajianda kupambana nao lakini walikuwa na bastola ndogo, alafu yule mtu wapili alikuwa ni mbavu nene.Pia akajaribu kupiga kelele lakini jumba wanalokaa linaeneo kubwa so kelele zake zikaishia tu mle mle ndani.Tour guide akaliwa tigo siku hiyo.Akaliwa tena kesho na baada ya siku mbili.Then kuna siku ndio walipokuja tena wakamrudishia passport yake (maana waliichukua) pia wakampa na ticket wakampeleka airport ndio akarudi maskani.

Na katika kipindi chote wakati yupo huko hakuwahi kuongea tena na yule mwanamke wa kizungu wala kuwasiliana nae kwa njia yoyote ile zaidi ya ile siku ambayo alifika for the first time airport.It means inaonekana ni kama mchezo alikuwa amechezewa ili aje kukutana na yule mzungu wa kiume.Nimejaribu kuiandika kwa ufupi ingawa ilikuwa na maelezo mengi sana.Na lengo langu ilikuwa ni kuwahisia wale wanaopenda mteremko.Kupenda wanawake wa kizungu ili ukaishi Ulaya au uishi maisha mepesi sio deal sana

kijana komaa utoke mwenyewe.

hii story si ya kweli. nimeisikia nikiwa nasoma shule ya msingi mwaka 1999. usidanganye watu kijana.
 
Tigo kugharamiwa hivyo ina kitu gani special? labda huyo mshenzi alipewa masharti na mganga wa kienyeji kuwa mafanikio yako yapo kwenye tigo ya jamaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom