Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,138
unachora kwa kutumia nini ndugu? rangi (painting) ama pencel?
safi sana hata kina picaso na da vinci walianzia huko
Pole sana Dada angu. Mi sijawa mtaalamu sana ila unaweza kunipa hiyo picha ukanipima. Mi natumia pencel kwasasa bado sijaanza kwenye rangi.
naomba nikija dar nikutafute unichore then na picha yangu naondoka nayo ama haitawezekana kwa siku moja?
jamani unajua kuchoraa hongeraa natamani unichore namimi..nina picha mbili nliwaambia wachoraji wanichore wakakosea kabis yaan hawajanipatia..nahis wewe utaweza...
acha uongo. mbona nilikuchola vizuri kasolo papuchi
Mi nipo Mwanza. Kwani we upo wapi?
Arusha