Kwa wanaopenda ONE NIGHT STAND

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kufanya ngono na kufanya mapenzi
Mapenzi hufanywa na mioyo + vikojoleo
Ngono hufanywa na vikojoleo 2(e.g one night stand)
 
Ungekuwa Bata Girl official ninge hit your Pm
 
No string attached
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kufanya ngono na kufanya mapenzi
Mapenzi hufanywa na mioyo + vikojoleo
Ngono hufanywa na vikojoleo 2(e.g one night stand)
Hayo yanayohusiha mioyo hayahusiki ndani ya ONE NIGHT STAND labda ikitokea mkaona mnaendena mnaweza ingia phase2 ya hayo yanayohusiha mioyo?
 
Hiyo siasa imekujaje hapo.. hivi akili yako kumbe ni fupi kiasi hicho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Korona ni jang linalogusa hata hiyo mahusiano yenyewe .. AMKA!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unaletaje hapa habari za corona? Unaona hii ni mada ya corona?! Kutuchanganyia mada hapa inaonesha jinsi ulivyo na akili fupi kama mkia wa mbuzi
 
Meditation is mainly for relaxation and stress removal...naongelea process zinazopelekea kusambazwa kwa homone mwilini kama dopamine,oxytocin.... nk
Puli.

Extra question hivi kununua malaya ndo one night stand unayoiongelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…