Nimepitia mitandaoni na kuona baadhi ya watu wakimkosoa Rais wetu kwa kutoimudu vizuri lugha ya kiingereza.Ni kweli kwa mtazamo wao wanaweza kuwa sawa lakini sio issue ya kuipa sana airtime kwani hakuna uhusiano kati ya kujua kuongea kingereza vizuri mbele za watu na suala la maendeleo ya nchi.
Tuna mifano dhahiri ya baadhi ya marais mashuhuri ambao kingereza kwao ni tatizo na ukichunguza unaweza usikutane na sauti au video zao kuwa wanaongea kingereza.Mfano ni Rais wa China - Xi Jiping,Francois Hollande - France,Vladmir Putin- Russia,etc.
Lakini issue ya Rais wetu tunaikuuza kama ni kitu fulani kikuubwa lakini kama ni muelewa nadhani unaweza usimlaumu wala kuona kuwa Rais wetu amekosea kwani kwanza Kingereza ni sio lugha yetu mama,ni lugha ambayo tunaikuta tu ukubwani na inategemea pia na msingi pia.
Sasa watoto wa kishua walosoma shule za medium tangu kindergarten leo wajilinganishe na mtoto wa mkulima(mzalendo) hata kidogo tofauti lazima iwepo.
Mimi naona kwanza waliokuwa wanajifanya wanajua sana hicho kingereza ndo wamesaini mamikataba ya miaka 99 kwenye madini,ardhi,nk bora pia nahisi kingereza kilikuwa kinawafanya wawe omba omba tu kwa wazungu.
Heko Rais wangu,piga kiswahili,komaa na sisi,tulipe kodi na tujitegemee kibajeti sisi kama sisi achana na maneno ya mitandaoni tunataka maendeleo anayetaka kuwasiliana na wewe aje na mkalimani wake mbona marais wengine wanakujaga na wakalimani wao??
Hebu tuache kumdiss Rais wetu,kwani hata baiskeli huwezi kujua siku hiyo hiyo na sharti ni moja lazima uanguke kwanza ndo uijue baiskeli hivyo huu ni mwanzo tu wa mikutano ya kimataifa hivyo na kitete pia huwa kinachangia kukupa wenge na kusahau baadhi ya misamiati.
Naamini kadri siku zinavyozidi kwenda na Rais wangu kuendelea kuizoea Ikulu ataimarika na kuwa bora zaodi hata aliyemtangulia alisemwa hivi hivi 2005 lakini sasa hivi weeeeeee.
Muda ni kipimo kizuri,tumuunge mkono Rais wetu katika kutuletea maendeleo na vitu vidogo kama hivi visitufanye tuondoke kwenye lengo la msingi ambalo ni MAENDELEO.
Assignment:Kama unataka kujipima kingereza chako kuna namna nyingi:
1.Fikiria mmetembelewa na ugeni(wazungu) kazini kwako na bosi wako anasema useme maneno ya shukrani kwa muda wa dk 3+
2.Bosi wako amekuambia uwe mtafsiri wake yeye ataongea kiswahili wewe utafsiri kwenda kingereza hotuba yake ya nusu saa
3.Umejitutumua kuhudhuria ibada au misa ya kingereza hamadi ukateuliwa ufunge ibada au misa kwa maombi ila kwa kingereza,maombi yanayoeleweka sio sekunde 15.
Weeee utaona mwenyewe utakavyochanganya past participle tense,future na continuos tense kwenye sentensi moja
Jaribu uone
Hii lugha ya Malkia ni tata sana hata ma Prof,Drs etc inawatoaga jasho wanabaki kurudia maneno yao yale ya kila siku kama "as far as...... Is concerned",actually,Ofcourse,A
bsolutely,Inspite of the fact that, etc
Jipime kingereza chako kabla hujamkosoa RAIS wangu JPM.
HAPA KAZI TU!!!!!!!!!