Kwa wanaojua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaojua

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pettymarcel, Jun 26, 2012.

 1. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,412
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Kuna ndugu yangu alifanya interview erolink jana it was written interview je huwa wanachukua muda gani to call for second interview? Anataka kujua maana yeye anakaa mkoan thanx
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inategemea na uhitaji, it may take a week, 2, or 3 .
   
 3. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,412
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Duu kwahiyo unamshauri bora arudi kijijin akangojee maana ameshukia kwa ndugu mtata akadhan angeweza kungoja kwa siku mbili tatu kumbe huwa inachukuwa muda kidogo? Du asante mkuu ngojea nimwambie ajipange
   
Loading...