Kwa wanaojua kuendesha gari

Kwa wanaojua kuendesha gari

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Ni gari ipi hapo inatakiwa ipite kwanza?halafu ifuate ipi?
10501864_1452578698326183_2238747805992204213_n.jpg
 
A then B na C kwa Pamoja


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni gari ipi hapo inatakiwa ipite kwanza?halafu ifuate ipi?
10501864_1452578698326183_2238747805992204213_n.jpg

ACB, ijapokuwa ABC haiwezi kusababisha ajali kwa kuwa B anaenda kushoto na kuna road/ lane separating island ambayo kimsingi kwa magari hayo yalivyo hapo weaving and diverging/ merging collision is minimal!
 
A then B na C kwa Pamoja


Sent from my iPhone using JamiiForums

Ya, ukiangalia ile A ikipita B na C hana sababu ya kumsubiri mwenzie kwa makutano na mielekeo ya magar ilivyo
 
A kisha B&C watapita pamoja bila madhara. Ila kama kuna alama za wakatisha kwa miguu ktk uelekeo wa A&C basi italazimika aanze A C kisha B aruhusiwe mwishoni.
 
Back
Top Bottom