Kwa wanaojua kuendesha gari

Kwa wanaojua kuendesha gari

samahani mkuu bei ya hammer sh ngapi,,,nataka huyo Asprin anihonge alafu sitak za showroom .aaigize direct nikapokee bandarin mwenyew
Asprin atakufa kwa presha bure ukimtajia Hammer,ungesogea hata kwenye Vitara ya mtumba tena 150,000km anaweza jitahidi.....
 
Last edited by a moderator:
Hapo B na C watasubiri A apite hivyo A ndio yupo kihalali kupita
 
Hapo hakuna anayeruhusiwa kwa mujibu Wa sheria za barabarani kifungu cha 10 kifungu kidogo cha iv kilichotilia mkazo mwaka 1978 nakusainiwa 1979.
 
Asprin atakufa kwa presha bure ukimtajia Hammer,ungesogea hata kwenye Vitara ya mtumba tena 150,000km anaweza jitahidi.....

Nishazichanga karata Nina dume lazima akamatike

amezeeka anastaafu kwa hiyo mafaao yake nataka niyachukue mazima
Sitaki vitara kitu hammer
 
Last edited by a moderator:
Naona kama wengi kwenye majibu mnatofautiana.
Kwani hamna sheria halisi ambayo inaeleza lipi lianze au huwa madereva na matrafki wanajiamulia ustarabu!

Honey Faith mshana jr General8 umate umate lusban The hammer, kapolo Otorong'ong'o MANI CHAZA,@Dj nasmile Leornado da vinc

Mkuu Viol naona kila mahali unakubaliana na 'Like' huenda unakubali mchango au unakubali maoni kuwa ni sahihi
  • Napenda nikueleze kuwa hiyo gari ya njano ipo katika barabara Ndogo ya 'T' hata kama ni Highway
  • ni lazima pale kwenye mwisho wa barabara waweke alama za kumsimamisha anayetaka kuunga High way
  • Kwa hiyo gari nyekundu (A)litaanza
  • litakuja la Bluu (B)
  • mwisho la njano (C)
  • View attachment Kanuni za Barabara kuingia Main road.doc
Chukulia mfano wa hii picha hapo juu hilo gari la njano (C) linataka kwenda kulia lilipotoka gari jekundu (A) huoni watagongana na laBluu (B)??????????????????
si vibaya hebu Fungua PDF ya Kanunu za barabara inayotumika sasa na mambo yote yapo humo au Google

http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...D4n3oEzuKTh_ZdcmBF3vbDw&bvm=bv.70138588,d.ZGU
 
Back
Top Bottom